Basi ana pepo la kukonyeza.Yes...anakonyeza Kama anafumba macho yote utacheka...anakonyeza kila mwanamke anayemwona nadhani...maana alimkonyeza had bek 3 wangu. Nikabaki nasikitika sana
Sidhan Kama ni 'mzima'Basi ana pepo la kukonyeza.
Karma aisee haimuachi mtu salama !Amekongoroka balaa...mishavu imeshuka...kila mwanamke anayemwona lazima amkonyeze( had mabeki 3 wa forest wanaipata hii )..sijui ana pepo gani huyu mzee! Naandika haya alikua jirani yangu so namaanisha!
Mno mnoKarma aisee haimuachi mtu salama !
Omary Mahita IGP mstaafu aliyeburuzwa mahakamani kwa kumjaza mimba house girl yuko wapi ?
Amekongoroka balaa...mishavu imeshuka...kila mwanamke anayemwona lazima amkonyeze( had mabeki 3 wa forest wanaipata hii )..sijui ana pepo gani huyu mzee! Naandika haya alikua jirani yangu so namaanisha!
Ntampga pic najuaga jiwe lakeduuuh hatareeeh sanaaah
Yes...anakonyeza Kama anafumba macho yote utacheka...anakonyeza kila mwanamke anayemwona nadhani...maana alimkonyeza had bek 3 wangu. Nikabaki nasikitika sana
Sema we inaonekana mtoto...humfahamu huyu baba...yaan wee mam nimecheka afu kwa sauti kubwa, kukonyezwa kwa beki 4 we ukasikitika.
Duuuuuh hatareeeh sanaaah, kweli simfahamu namsikia tu,Sema we inaonekana mtoto...humfahamu huyu baba...
1 anatisha balaa usoni .
2.ana kitambii ..Sasa mm kabeki 3 kangu kalikua slim balaa. Nkawaza Sana anataka Nini pale
NimechekaYes...anakonyeza Kama anafumba macho yote utacheka...anakonyeza kila mwanamke anayemwona nadhani...maana alimkonyeza had bek 3 wangu. Nikabaki nasikitika sana
ππππYuko wapi Zakia Meghji aliyemwambia Shigongo kunywa maji mwanangu wakati anadai pesa zake chamani?
OoohYuko wapi jiwe?? (hili swali nimelileta in advance)