Uchaguzi 2020 Wako wapi Makada kindaki ndaki wa CCM?

Hiki ndicho kinachokwenda kutokea, Amiri Jeshi wetu Mkuu aliitangazia dunia, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, amani itatawala, na mshindi ndiye atatangazwa mshindi!.
Hatuutaki ule uhuni wa watu fulani zile chaguzi za nyuma, mtu aliyeshindwa anajitangaza alishinda kura zake zikaibiwa!.
Safari hii ni anayashindwa akubali kushindwa na kumpongeza mshindi.
P
🤣 🤣 🤣 🤣 ila hii ya kuzimiana mitandao ya kijamii ni ushamba uliopitiliza
 
Ndio kitu gani hiko hata sikifahamu....usikose kwenda kumpa kura za kishindo JPM.

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA

VPN ndiyo habari ya mjini. Hayupo anayeitumia atakaye mpa jiwe kura.

Kwa hilo tu ninawajua CCM kadhaa ninao kituoni, watamtia adabu jiwe shortly.

Achilia mbali wale wanaochukizwa naye kwa mauaji ya watu ili kulazimisha wao tu kubakia madarakani.

Hiyo ndiyo habari yenyewe.
 
Mlo wao ni makande mchana na usiku mpaka wemgine yanawakaba wamekuwa kama nguruwe wanakufa
Kabisa mkuu hatimaye nimefanikiwa jambo letu
IMG_20201028_095155.jpg
 
Tayari nishatoka kumuumiza Lissu.
#JPM mitano yake ipo tayari.View attachment 1614264
Ila waTZ bhana eti nmetoka kumuumiza Lissu hahahhaa. Sasa unadhani mkiteseka miaka 5 mingine huyo Lissu atahustle kma ww?

Ukute hapo hta shughuli maalum huna unashinda vijiweni tu alafu unadai kumuumiza mwenye M.A ya Warwick Hahahah Tz bhana.

Unajikomoa mwenyewe tu na kizazi chako and not Lissu.
 
Pole nyingi kwa waliopoteza ndugu, marafiki na majirani ambao walistahili kuishi lakini shetani na mawakala wao wamewaondosha katika Ulimwengu huu.

Mungu mwenye huruma na mamlaka yasiyo na mipaka tunaomba awapokee marehemu hawa kwenye ufalme wake wa milele ulio na haki isiyo na mashaka. Mungu mfariji atupe faraja watanzania wote tulioguswa na vifo hivi vilivyosababishwa na shetani ambaye tulidhani ni mwanadamu mwenye hofu ya Mungu.

Mungu wetu, kisasi kipo juu ya mamlaka yako lakini maombi yetu ni kuwa laana na damu za marehemu hawa zikakae kwao walioamrisha mauaji, watekelezaji, mawakala wao na wafurahiao mauaji ya wana wako. Wao wanaua kwa mamlaka na kwa bunduki lakini wewe huhitaji bunduki wala rungu, wala fimbo kuweza kuwaadhibu na kuwakumbusha kuwa juu yao kuna mamlaka iliyo kuu ambayo ni Wewe mwenyewe.

Nyumba zao zikadumu katika laana na mateso. Nao wakakumbuke, wakajutie, na mwishowe wakakusujudie kwa matendo na kauli maana nyumba na familia zao hazitapungukiwa mahangaiko na mateso. Nao wasiotubu, damu za marehemu zikawafuate na kuwalilia wakati wote wa maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh...!, Mkuu komanyahenry , unazungumzia upinzani kushinda?, upinzani upi huo wa kushinda na wa kumshinda nani?!. Kuna watu wa kuwashinda ni wale wa kushindwa!, ugombee na wasioshindwa halafu utegemee kushinda!, hiyo ni ndoto!.
Wewe bado unasubiri matokeo?!, mbona wenzio tumeishayatangaza matokeo toka jana!,
P
Mayala unajidharaulisha uzeeni. Kuijenga heshima ni kazi sana, lakini kuipukutisha hakuhitaji muda.

Yaani kweli Mayala umekosa hata ile akili ndogo kabisa ya kufikiria kuwa kwenye uchaguzi kuna kushinda na kushindwa?

Yaani wagombea wote wa upinzani kuanzia ubunge mpaka Urais wa Jamhuri na Zanzibar, hakuna atakayeshinda?

Ama kweli mahaba yaliyopitiliza huondoa akili, fikra, na hekima. Leo Mayala hana tofauti na Jingalao, Bia Yetu, USSR, Jane Lowasa, n.k; watu ambao wameamua wakati wote kusifia tu wanachokitaka, na kuweka akili jalalani.

Lakini kupanga ni kuchagua. Unaweza kuamua kuishi kwa kuitumia akili uliyojaliwa na Mungu AU kuishi kwa unafiki, na kuuweka ukweli pembeni.

Bwana asema, walio wa UKWELI huisikia sauti yake nao huishi katika KWELI ya Bwana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiki ndicho kinachokwenda kutokea, Amiri Jeshi wetu Mkuu aliitangazia dunia, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, amani itatawala, na mshindi ndiye atatangazwa mshindi!.
Hatuutaki ule uhuni wa watu fulani zile chaguzi za nyuma, mtu aliyeshindwa anajitangaza alishinda kura zake zikaibiwa!.
Safari hii ni anayashindwa akubali kushindwa na kumpongeza mshindi.
P
Kabisa.... ngoma iachwe iwe free and fair. Mshindi atangazwe na sio kutumia dolla. au kuzima mitandao
 
Mimi nawatakia kila la kheri wapiga kura SOTE. Twende tupige kura yenye tija kwa miaka 5 mbele
 
Niko kituoni na washirika wenzangu muda sasa. Kimya kimya lakini hamasa kubwa moyoni.

Iziraeli atupishilie mbali.

Tunataka haki. Inshallah kutokana na haki amani hapa itatamalaki tu.

Sala zetu kote haki na ikatendeke tukiwakumbuka wale wote waliotutangulia kwa kusimama na haki.

Nimekuwa naangalia nyuzi mbali mbali tangia jana, hata huko kwenye mitandao mingine ambako bila VPN ni kweusi. Ma lb7, mataga na mshabiki nguli wa chama mboga mboga wote wamepotea.

Au labda hawataki kutumia VPN kuitikia mapenzi ya chama chetu? Au nao ni mshabiki wa hii mitandao kupotea ikibidi moja kwa moja?

Eeh mola wetu mshindi na akatangazwe mshindi.

Amani na ikawe na kila mpenda haki.

Tunayo siku ndefu leo inshallah.
Washapokea buku saba jero yao maana kazi imeshaisha
 
unajua uhuru wa faragha una maanisha nini?
kama hujui CCM ndo wapitisha sheria bungeni na hiyo sheria ilipitishwa na CCM kwa hiyo jibu ni kwamba CCM ndio inafadhili ushoga.
Mbona unaharaka hivyo kulikoni! Mashoga hawana nafasi Tz! JPm ndio mpango mzima!
 
Back
Top Bottom