Uchaguzi 2020 Wako wapi Makada kindaki ndaki wa CCM?

Tulia
Walalamikieni mabeberu na Lissu
Waliopanga kuteka mawasiliano ya Tanzania.. wamechokonoa na kushindwa..
Wee mwenyewe unajisukuma na vpn hapa then unaongea upuuzi... Miaka yote mbona hakukuwa na censorship?
 
Hiki ndicho kinachokwenda kutokea, Amiri Jeshi wetu Mkuu aliitangazia dunia, uchaguzi utakuwa huru na wa haki, amani itatawala, na mshindi ndiye atatangazwa mshindi!.
Hatuutaki ule uhuni wa watu fulani zile chaguzi za nyuma, mtu aliyeshindwa anajitangaza alishinda kura zake zikaibiwa!.
Safari hii ni anayashindwa akubali kushindwa na kumpongeza mshindi.
P
Sema anayeshindwa kwa haki
 
Wazalendo wote wa Tanzania KURA zao ni kwa Mzalendo mwenzao Magufuli,

Magufuli 5 TENAAA

Congratulations in advance President Magufuli

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Niko kituoni na washirika wenzangu muda sasa. Kimya kimya lakini hamasa kubwa moyoni.

Iziraeli atupishilie mbali.

Tunataka haki. Inshallah kutokana na haki amani hapa itatamalaki tu.

Sala zetu kote haki na ikatendeke tukiwakumbuka wale wote waliotutangulia kwa kusimama na haki.

Nimekuwa naangalia nyuzi mbali mbali tangia jana, hata huko kwenye mitandao mingine ambako bila VPN ni kweusi. Ma lb7, mataga na mshabiki nguli wa chama mboga mboga wote wamepotea.

Au labda hawataki kutumia VPN kuitikia mapenzi ya chama chetu? Au nao ni mshabiki wa hii mitandao kupotea ikibidi moja kwa moja?

Eeh mola wetu mshindi na akatangazwe mshindi.

Amani na ikawe na kila mpenda haki.

Tunayo siku ndefu leo inshallah.
Upuuzi mtupu.
 
Magufuli atazoa kura za kutosha, kila mahali watanzania wamejitokeza kufanya kweli. Mbowe na genge lake ndio mwisho wake.
 
Nilijuwa tu nyie ni wale watu wenye maisha mabovu na elimu Duni picha huongea mengi
Utajua mwenyewe,chamsingi nishamkata maini mtetea mashoga.
"Mungu anibariki kwa kupinga ushoga kwa vitendo leo kwakumnyima kura yangu Lissu"
 
Utajua mwenyewe,chamsingi nishamkata maini mtetea mashoga.
"Mungu anibariki kwa kupinga ushoga kwa vitendo leo kwakumnyima kura yangu Lissu"
IMG_20201028_095155.jpg
 
Pole nyingi kwa waliopoteza ndugu, marafiki na majirani ambao walistahili kuishi lakini shetani na mawakala wao wamewaondosha katika Ulimwengu huu.

Mungu mwenye huruma na mamlaka yasiyo na mipaka tunaomba awapokee marehemu hawa kwenye ufalme wake wa milele ulio na haki isiyo na mashaka. Mungu mfariji atupe faraja watanzania wote tulioguswa na vifo hivi vilivyosababishwa na shetani ambaye tulidhani ni mwanadamu mwenye hofu ya Mungu.

Mungu wetu, kisasi kipo juu ya mamlaka yako lakini maombi yetu ni kuwa laana na damu za marehemu hawa zikakae kwao walioamrisha mauaji, watekelezaji, mawakala wao na wafurahiao mauaji ya wana wako. Wao wanaua kwa mamlaka na kwa bunduki lakini wewe huhitaji bunduki wala rungu, wala fimbo kuweza kuwaadhibu na kuwakumbusha kuwa juu yao kuna mamlaka iliyo kuu ambayo ni Wewe mwenyewe.

Nyumba zao zikadumu katika laana na mateso. Nao wakakumbuke, wakajutie, na mwishowe wakakusujudie kwa matendo na kauli maana nyumba na familia zao hazitapungukiwa mahangaiko na mateso. Nao wasiotubu, damu za marehemu zikawafuate na kuwalilia wakati wote wa maisha yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dua la kuku, wanafiki, wazandiku, wafitini na wachonganishi mtachomwa vibaya sana!
 
Ila waTZ bhana eti nmetoka kumuumiza Lissu hahahhaa. Sasa unadhani mkiteseka miaka 5 mingine huyo Lissu atahustle kma ww?

Ukute hapo hta shughuli maalum huna unashinda vijiweni tu alafu unadai kumuumiza mwenye M.A ya Warwick Hahahah Tz bhana.

Unajikomoa mwenyewe tu na kizazi chako and not Lissu.
Majuzi nilikuwa Gisenyi kufata Cast lite(Gisenyi ninahakika unapajuwa) mpakani mwa Goma na Rwanda.
Nimeshusha juzi hapa bandari yetu ya Dar.
Kesho naanza safari nafata nyingine kwenye godown kule Kamenge Burundi.ntafikia kwanza majerwaa kisha nishuke pale beach ya Borabora nikawapapase kwanza mabinti wa kitusi alafu ndo ntaenda kupakia mzigo.

nikitoka Burundi nikishashusha naenda Zambia kufata Ndandash.
Ninasafari ya kutoa mzigo wa nondo kutoka Shayona steel Mwanza pale karibu na usagara na kupeleka Kigari.hii safari ni baada ya kutoka Zambia Inshallah.

Nidhamu ya maisha imewekwa na Mungu kuna wenye kazi na wasio nakazi.
Kuna wenye maisha bora na maisha duni.

Embu nipe uhakika kwanza kwamba Lissu akipewa nchi Tanzania nzima watu wote watapata kazi na hawatakuwa masikini.

Kama wewe jinsi ulivyonishambulia mimi kuwa sina kazi walamaisha mazuri!
 
Majuzi nilikuwa Gisenyi kufata Cast lite(Gisenyi ninahakika unapajuwa) mpakani mwa Goma na Rwanda.
Nimeshusha juzi hapa bandari yetu ya Dar.
Kesho naanza safari nafata nyingine kwenye godown kule Kamenge Burundi.ntafikia kwanza majerwaa kisha nishuke pale beach ya Borabora nikawapapase kwanza mabinti wa kitusi alafu ndo ntaenda kupakia mzigo.

nikitoka Burundi nikishashusha naenda Zambia kufata Ndandash.
Ninasafari ya kutoa mzigo wa nondo kutoka Shayona steel Mwanza pale karibu na usagara na kupeleka Kigari.hii safari ni baada ya kutoka Zambia Inshallah.

Nidhamu ya maisha imewekwa na Mungu kuna wenye kazi na wasio nakazi.
Kuna wenye maisha bora na maisha duni.

Embu nipe uhakika kwanza kwamba Lissu akipewa nchi Tanzania nzima watu wote watapata kazi na hawatakuwa masikini.

Kama wewe jinsi ulivyonishambulia mimi kuwa sina kazi walamaisha mazuri!
Kuna mpuuzi hapa asubuhi ananiambia katoka kumpigia magufuli huko kanda ya ziwa ilihali nafahamu kabisa alikua na vigezo ila kanyimwa mkopo na pia hta akimaliza hiyo degree hana uhakika wa kupata mtaji (Kupitia zile 10% za halmashauri) ama kupata ajira sababu Private sector imekufa na serikali imeshindwa kuchochea uchumi.

Then najiuliza nyie watu mnajitambua kweli? Na sio ww tu ni waTZ kibao unakuta kapigika haswaa ila bado ni CCM? Fikiria wakulima waliopigika wa korosho, pamba, wafugaji huko meatu n.k huna ndugu huko? Huna ndugu mkulima ambaye anategemea jembe na serikali yenu imeshindwa kabisa kumsaidia kuattain kilimo cha kisasa? Huna ndugu kabisa aliyeumia na sera mbovu za kilimo?

Well uwe msafirishaji bidhaa nje, hivi kuwa mkweli tu mauzo yameshuka kuliko awamu iliyopita kwa mujibu wa takwimu za BOT. Sasa ww umeathirika pia ila unaenda mpigia kura Magu then tusikie siku mnakuja kulalamika hapa cjui TRA cjui mauzo cjui bureaucracy mpakani na blah blah zingine.

Kwa mentality hizi tutatawaliwa na CCM mpaka Yesu anarudi afu tutakuwa tunatafuta mchawi ni nani wa umaskini wetu.
 
31 Reactions
Reply
Back
Top Bottom