Wako wapi Hawa!!

Quavohucho

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2020
Posts
949
Reaction score
2,247
Walikua maarufu sana hasa Twitter x" na Telegram,miaka ya 2021 mbaka 2024?
:Asha zungu
:Sauda Bubu
:Linda amossi
:Yanga girl
:Mona deus aka slim lady,
:Sy kivuluge

sijapata kabisa kuwaona si mtaani wala mitandaoni!
Na hata content utapata zile zile za zamani!

Je kuna mtu anaweza kujua wako wapi Hawa!

Nb: Slim thick Mary nasikia aliolewa na mtt mwingine,

Mwenye info please
 
Maisha ni maua!
 
Sasa mkuu kichwa kinawasha unakuna mgongo ? Si ungeenda huko huko kuwaulizia ?

Nikuambie kitu... haya maisha ya mitandao watu wanabadilika kulingana na mazingira na nyakati.... mtu anaweza kuwa na account flan makhususi kwa ajili ya jambo fulani....akikamilisha anaitelekeza...ama ana-deactivate......hata humu jf kuna watu wana account zaidi ya 5, kuna watu pia wana account za zaman waMezitelekeza... ama zina matukio wanaamua kufungua mpya...

Humu kwenye mitandao unachati na dume jenzio unadhani Dem unaanza kujibebisha.... utalombwa
 
Kusoma mawazo ya watu kwenye social na kuwa active sana mda mwingine kuna athiri kisaikolojia
 
Kusoma mawazo ya watu kwenye social na kuwa active sana mda mwingine kuna athiri kisaikolojia
Hawa walifanya kila mtu x na Telegram awe addicted nao wengine kimya kimya Kama ngwea
 
True! Kabsa Ila Hawa hata mitaani kwao hawaonekani kabisa!!
Mala ya mwisho asha zungu alikamatwa na police 2023 kwa Mambo yetu Yale!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…