Wako wapi watu hawa maarufu?

LwandaMagere

JF-Expert Member
Mar 15, 2020
264
2,471
1.NEEMA MBUJA- Huyu alikuwa msoma habari pale ITV,aliolewa kipindi fulani lakini akatoweka ghafla,yu wapi?

2.REHEMA SALIMU
- Huyu pia alikuwa msoma habari pale ITV,niliskia kipindi fulani yupo Azam ila sina uhakika kama yupo!,yu wapi?

3.HUSNA MLANZI & FATMA SHEMWETA
- Hawa wote walikuwa ni warembo toka kituo cha Star Tv,walitetemesha sana enzi zao,wako wapi?

4.KIBAKULI
- Huyu mwamba alitikisa sana kwenye maigizo ya Kaole akiwa na kina Nyamayao na muhogo mchungu lakini sikuhizi kapotea,yu wapi?

5.BISHANGA
- Huyu pia alitikisa sana kwenye sanaa ya maigizo ya kwenye Tv enzi hizo na kundi lake la mambo hayo,yu wapi?

6.FATHER G
- Huyu mwamba yeye ni miongoni mwa wanamuziki wa Bongo aliye fanya vizuri enzi hizo na kibao chake cha BINTI MLOKOLE,yu wapi?

Waweza ongezea na wewe hapo chini uliowafahamu na hivi sasa wamepotea.........

CHIFWINOLOGY²
 
Back
Top Bottom