Wako Wapi Hawa?

Ndallo

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2010
Posts
7,621
Reaction score
4,311

King Crazy Gk


Kyanga Kasaloo
Nawakumbuka sana hawa jamaa na kuna wengine wengi tu walivuma lakini sijui wako wapi sasa hivi kwenye ulimwengu huu wa muziki?
 
kuna O-ten, Soggy Doggy, Sister P, Rah P, Zay B n.k.....sijui wamefia wapi wote hawa
 
Crazy Gk alirudi shule, anasoma sasa

Ndio Mkuu unachokisema ni kweli na sio kama hao wengine wanasema ati alikuwa mzurumati GK namfahamu sana tokea enzi za MOA (Mwange Open Academy) hana tabia za kudhurumu mtu hata siku mmoja alikuwa mtu peace sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…