Wako wapi hawa wadau?

Mbona umepotea na wewe mkuu Excel?

nipo mkuu, namsaka mrembo wangu Batuli aka Cleopatra. maybe na mimi ntakuwa na mke humu jf!!

since yesterday namtafuta tu lakini simuoni kabisa jamani!

kokote atakapoonekana.. thats my little gift for her... hio ni long shot kwa ajili yake tu!

nikija nampa close up mpaka tuelewane!
 
Last edited by a moderator:

Umeona anayoyasem Valentina hapo juu?

Kwa nini unaishi kwa matumaini wakati tumaini lenyewe unalo mkononi?
 
Last edited by a moderator:
Umeona anayoyasem Valentina hapo juu?

Kwa nini unaishi kwa matumaini wakati tumaini lenyewe unalo mkononi?

babu! niko chini ya miguu yako.. tafadhali chukua nafasi hii kunibembelezea binti mrembo, Batuli aka Cleopatra. for sure nimefall for a long time toka anajitambulisha kule jukwaa la celebrities. please ungana na babu mwenzio, Asprin, mnifikishie taarifa hizi muhimu kwa njiwa wangu, mpendwa wangu... princess BATULI!!
 
Last edited by a moderator:

Don't du that babu
 
Last edited by a moderator:

Naomba uweke mambo yako sawa ili watu wazima na heshima zetu tusiishie kuumbuka. Naamini hata mzee mwenzangu Asprin atakubaliana na mimi....

Hebu malizana na Valentina kwanza basi..!
 
mkuu valentine ni mali ya Tonykp. sasa sijui ni mambo gani hayo unataka niyaweke sawa zaidi ya kufumaniwa kariakoo!
 
Last edited by a moderator:
mkuu valentine ni mali ya Tonykp. sasa sijui ni mambo gani hayo unataka niyaweke sawa zaidi ya kufumaniwa kariakoo!

Kwani sinimekwambia Tonykp hayupo na hana mpango wa kurudi tena nchini jamani!! Don't du dhat 2me plzzzzzz
 
Last edited by a moderator:
ID mpya ndo wao mkuu zilizozoeleka wameweka pembeni wapo humu unakulanao sahani moja! Dark City

Tatizo kule siasani kuna vijana wamekuja kila uzi ukiwekwa wao kazi ni kuharibu hali ya hewa na wapo faster kiasi kwamba most of the comment zinatoka kwao .....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…