Wako wapi hawa makamanda wa CHADEMA?

BungelaKatiba2014tz

JF-Expert Member
Feb 18, 2014
1,231
649
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
 
Kimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?
Haya ni majibu ya kijuha sana. Kani wewe Ben ndo msemaji wao? Mleta mada kauliza hivyo kwa vile watajwa hapo juu taarifa zao zilikuwa nje nje. Kwa sasa hata kwenye media hawaonekani
 
Good ,Kumbe kila mwanabadiliko ni lazima awe CHADEMA?Sasa msiongelee mabadiliko mkiwa huko vichochoroni
Kwani kuna mahala imeandikwa kuwa kila mwana mabadiliko ni CHADEMA? Vipi wale wa CUF, NCCR, NLD na hata Magufuli?
 
Haya ni majibu ya kijuha sana. Kani wewe Ben ndo msemaji wao? Mleta mada kauliza hivyo kwa vile watajwa hapo juu taarifa zao zilikuwa nje nje. Kwa sasa hata kwenye media hawaonekani

Acha uboya ww...unakua kama hukaliagi ombo bnaa....
 
Kwani kuna mahala imeandikwa kuwa kila mwana mabadiliko ni CHADEMA? Vipi wale wa CUF, NCCR, NLD na hata Magufuli?

Huyo uliyemtaja Mwishoni usichanganye maigizo yake na mabadiliko. Kwanza taka alizohamasisha Dec 9 hazijazolewa bado
 
Back
Top Bottom