Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,870
kamanda kingunge, maajabu kama haya hupatikana Tanzania pekee, ikiacha yale ya nyumbu kuvuka mto na kwenda mbuga ya masai mara.
Nyumbu Wana Maajabu Sana Hahahaa...
kamanda kingunge, maajabu kama haya hupatikana Tanzania pekee, ikiacha yale ya nyumbu kuvuka mto na kwenda mbuga ya masai mara.
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Kamanda Lucy alikuwa meneja wa kampeni wa Godbless Lema Arusha na aliitendea haki CCM.Lucy owenya yupo kiboloroni
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Huyo uliyemtaja Mwishoni usichanganye maigizo yake na mabadiliko. Kwanza taka alizohamasisha Dec 9 hazijazolewa bado
Mshenga kawabadilishia gia angani juu kwa juu, nanukuu,"Reli ni ile ile, mabehewa ni yale yale lakini kichwa ni tofauti, huyu ndiye rais tuliyekuwa tunamtafuta watz anayesimamia maslahi ya wananchi. ..magufuli piga kazi sisi tunakuombea" mwisho wa kunukuu
Huyo uliyemtaja Mwishoni usichanganye maigizo yake na mabadiliko. Kwanza taka alizohamasisha Dec 9 hazijazolewa bado
wamerudi kwenye biashara zao halali
7. Makongoro Mahanga
8. Msindai
9. Juma Mwapachu
10. Mama Tanzania (james mbatia)
11. Lembeli