Wako wapi hawa makamanda wa CHADEMA?

Wako wapi hawa makamanda wa CHADEMA?

Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya

hawana lolote hao njaa inawasumbuwa
 
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya

Babu Juma Duni Haji sio kamanda wa chadema.
Alisharudi kwao CUF siku nyingi.
 
Kimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?

Leo Ben unamkana Kingunge lakini miezi takriban miwili iliyopita Kingunge ndo alikuwa mmoja wa vinara wa kunukuliwa na kusifiwa hapa jukwaani na vijana wa chadema.
 
Kwani kuna mahala imeandikwa kuwa kila mwana mabadiliko ni CHADEMA? Vipi wale wa CUF, NCCR, NLD na hata Magufuli?

Jipu la chama chenu halijaiva tu litumbuliwe kukidhi mabadiriko ya Magufuli 4 Change? Wapo tele ila kama mnatafuta kick kupitia migongo yao mmebugi mfuateni JK mjue anachokifanya.
 
Tangu walipofuta list of shame kwenye website YAO waishiapo,
 
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya

Wako kimya wanakula lowassa mkwanjika
 
Kwani kuna mahala imeandikwa kuwa kila mwana mabadiliko ni CHADEMA? Vipi wale wa CUF, NCCR, NLD na hata Magufuli?

Hapo kwenye rangi muulize DadaMadiba,alisema hivi,

user-offline.png
TataMadiba

Today 09:37
#6
JF Senior Expert Member Array


Join Date : 7th February 2014
Posts : 4,772
Rep Power : 403790
Likes Received1253
Likes Given6



[h=2]
icon1.png
Re: Wako wapi hawa makamanda wa Chadema?[/h] Duh! Leo mnamkana babu wa mabadiliko.
 
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya

.mkuu samahani ngoja nami nitunishe huo mfuko;
7.Mgana Msindai
8.Lembeli
9.Tambwe Hiza
10.Masha
11.Makongoro Mahanga.
Hapo first eleven imekamilika,bado reserves.
 
Back
Top Bottom