TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,868
- 5,753
Siasa imeongelewa wapi hapo?Weee unadhani muda wote watu wanaongelea siasa tu
Siasa imeongelewa wapi hapo?Weee unadhani muda wote watu wanaongelea siasa tu
Uchafu wa Dec. 9 mkazoe nyie, mna uzoefu huo, si wakati mzee wenu anajinyea mlikuwa mnazoa?Huyo uliyemtaja Mwishoni usichanganye maigizo yake na mabadiliko. Kwanza taka alizohamasisha Dec 9 hazijazolewa bado
Mshenga kawabadilishia gia angani juu kwa juu, nanukuu,"Reli ni ile ile, mabehewa ni yale yale lakini kichwa ni tofauti, huyu ndiye rais tuliyekuwa tunamtafuta watz anayesimamia maslahi ya wananchi. ..magufuli piga kazi sisi tunakuombea" mwisho wa kunukuuKimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?
Haya ni majibu ya kijuha sana. Kani wewe Ben ndo msemaji wao? Mleta mada kauliza hivyo kwa vile watajwa hapo juu taarifa zao zilikuwa nje nje. Kwa sasa hata kwenye media hawaonekani
Nitajibu kwa hawa wawiliMbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Haya ni majibu ya kijuha sana. Kani wewe Ben ndo msemaji wao? Mleta mada kauliza hivyo kwa vile watajwa hapo juu taarifa zao zilikuwa nje nje. Kwa sasa hata kwenye media hawaonekani
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Wewe ndiye juha. Hilo swali limeletwa kwa nini hapa JF wakati mnajua Kingunge sio member hapa? Mlitaka mjibiwe, na Ben kawajibu vizuri kuwa Kingunge sio mwanachama wa Chadema hivyo kuuliza katika list ya makamanda wa chadema ni UJUHA ZAIDI. Ingawa Ben kwa ustaarabu kashindwa kuita swali hilo kuwa la KIJUHA
endelee kuelimika maana upoeo bado mdogo sana kama punje ya saradanimbona kimya sana. Hawa makamanda wako wapi?
1. Mabere nyaucho marando
2. Tundu antipas mgaiwa lissu ni ngwai na si ulichoandika, ni mbunge wa singida mashariki haujamsikia kwenye matamko ya kesi ya kumburuza makonda mahakamani?
3. Babu juma duni haji-yuko zanzibar na atasema hatma yake kubaki cdm au kurudi cuf
4. Kingunge ngombale mwiru- hukumuona kwenye baraza la kigoda cha mwalimu akitoa mada? Hukumuona alipokuja mchungaji tb joshua kwenye mazungumzo yao nyumbani kwa el?
5. Mch. Josephat gwajima(mshenga). Mfuate kanisani kwake yupo hakosekani kwani siku zote alikuwa wapi?
6. Lucy philemon owenya: Hukumuona kule jimbo la siha aliposimamia kumpata mwenyekiti wa h/m ya siha kupitia cdm?
Mbona unatahamaki mkuu, ndugu yako ameguswa nini?endelee kuelimika maana upoeo bado mdogo sana kama punje ya saradani
Mshenga kawabadilishia gia angani juu kwa juu, nanukuu,"Reli ni ile ile, mabehewa ni yale yale lakini kichwa ni tofauti, huyu ndiye rais tuliyekuwa tunamtafuta watz anayesimamia maslahi ya wananchi. ..magufuli piga kazi sisi tunakuombea" mwisho wa kunukuu
Manyumbu yanahangaika , yaache tu kiongoziDuh! Kweli juha anamtambua juha mwenzake. Ktk post hy nimeona majina tu na sijaona mleta post alipodai Kingunge ni chadema. Pole ndugu wewe na Ben Saanane inaonekana wote wakurupukaji tu
Kuna wale makamanda wengine waliokuwa wenyeviti wa nambari wani Shinyanga, Singida, mstaafu dar, na balozi mmoja mwenye asili ya Tanga na hao mbona hujawatolea maelezo mkuuKimya hapa JF au wapi? Gwajima mtafute Kanisani kwake.Kingunge ni lini alichukua kadi ya CHADEMA?
Mbona kimya sana. hawa Makamanda wako wapi?
1. Mabere Nyaucho Marando
2. Tundu Antipas Mgaiwa Lissu
3. Babu Juma duni Haji
4. Kingunge Ngombale Mwiru
5. Mch. Josephat Gwajima(Mshenga).
6. Lucy Philemon Owenya
Mbona unatahamaki mkuu, ndugu yako ameguswa nini?