Wakipinga kuvurugwa Upinzani Bungeni; CHADEMA watoka nje!

Jioni ya leo ktk kikao cha kwanza cha bunge, wabunge wote akiwamo zito wametoka ukumbini kupiga hoja ya mabadiliko ya kanuni za bunge kuhusu muundo wa kambi ya upinzani, haya siku ya kwanza moto ushaanza kuwaka

Ndiyo kwanza kumekucha!
 
sidhani kama hiyo hatua inaleta tija yoyote kwa wananchi wa kawaida

Tumeshajua CCM ni wababe na wameshika mpini, pia tukumbuke kuna akati hata tanu walishiriki uchaguzi wakijua si huru wala haki ili kuwa-surprise wakoloni.... basi tujifunze kutolerate differences

CHADEMA wangebaki, waungane na wapinzani na waanze ku-lobby kufikisha agenda yao na hata ikibidi kufanya vikao vya mara kwa mara... kumbukeni wanasiasa wote ni wanafiki hivyo basi kubadilika isingekua tabu as long as keki imewekwa mezani na kila mtu anajua mwenzake kapata kipande ngapi

Kuunganisha vyama vya upinzani hakuwezi kufanywa kwa lazima. Mbona kuna kanuni na taratibu kwa nini zinatakiwa kuvunjwa kwa lazima?
 
Hivi haya ya kugombania madaraka ya kambi ya upinzani ndiotuliyo watuma huko bungeni?
 
UKANYAGAJI WA DEMOKRASIA TU. HII NI ISHARA MBAYA KWA SPIKA, ANAONYESHA KUTOTUMIKIA WANANCHI BALI CHAMA. KWA NINI ANAWATETEA CUF ambao kanuni imewatoa nje? UBABE UNA MWISHO
 
Wakati mjadala wa hoja kuhusu mabadiliko ya Kanuni za Bunge kuhusu Kambi rasmi ya upinzani Bungeni ukiendelea. CDM wamesusia kikao hicho kufuatia kutoridhishwa na mwenendo wa mjadala wa hoja husika.
 
Safi sana,hivi watanzania mnajua hii nchi inahitaji machafuko ili tuwatoe hawa CCM.I'm sorry to say this but seriously speaking kuna viongozi wa chama tawala wanaohitaji kufyekwa watoweke duniani.Tumechoshwa na upuuzi wao
Mhhhh! haya yali semwa haya kwamba kuna vyama viko tayari kymwaga damu ilmradi wao waende ikulu, vyama kama hivi sijui, nani yuko tayari kupoteza roho yake ilimradi tu CDM waende ikulu??? :A S 20::A S 20::A S 20:
 
Chadema I'm right behind your decision. So perfect! Keep it real. Kafulila, Hamad i really hate you now. You're the cause of this; you CCM puppets.
 
Back
Top Bottom