Wakinga kwa fasheni hawajambo

Babu zetu wanatusimulia kuwa Wakinga walikuja Bulongwa kutafuta maisha na kupora baadhi maeneo yetu,ni sawa na wageni tu ila miaka mingi imepita na wamekuwa wenyeji.
Kuhusu Historia mimi sijui ila ninachojua Bulongwa wapo wakinga
 
Nilisoma shule inaitwa Mwakavuta, wenyeji wanaitamka Mwakauta. Kuna kabinti kakanizoea kakawa kananihimiza tuwe tunaenda kanisani la sivyo wachawi watanishughulikia.

Wakati tunawasili tulipewa semina kua wasichana wa pale ukiwa na uhusiano nao wanakuloga ili uondoke nao Dar.

Sasa sijui ni kweli au vipi maana sikuwahi kwenda kanisani na sijawahi kushughulikiwa ila sikuwahi kua na uhusiano na binti yeyote.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo mambo yapo kila sehemu hasa ukienda vijijini.
 
Makete huko?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo mambo yapo kila sehemu hasa ukienda vijijini.
Ni kweli.
Ila kama wewe ni Mkinga hebu fanya mpango wa mkate wa Kikinga[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Ni kweli.
Ila kama wewe ni Mkinga hebu fanya mpango wa mkate wa Kikinga[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mnatuchamba af vitu vyetu mnapenda nyoo nikikuwekea dawa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…