Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,628
Nimeshangazwa sana na jinsi hawa wakinamama vijana wa kidigitali wa Jijini Dar es salaam wanavyowalea watoto wao wa kiume.
Toto linadekezwa yaani hata mtoto wa kike sio hivyo, toto linapakwa mpaka wanja na lip balm, halafu hapo mama yake ndio anaona mtoto wa kisasa kapendeza, anamfungulia kabisa na account insta anaanza kupost picha zake.
Hivi mtoto kama huyu akikua akiwa shoga utamlaumu nani?
Wakina mama hasa ambao bado mna ujana acheni kuwalea watoto hivi, ndio maana watu wa mkoani watazidi kuwadharau wanaume wa Dar.