Wakinamama tujifunze kuwalea watoto wa kiume

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Messages
727
Points
1,000

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2019
727 1,000
Nimeshangazwa sana na jinsi hawa wakinamama vijana wa kidigitali wa Jijini Dar es salaam wanavyowalea watoto wao wa kiume.

Toto linadekezwa yaani hata mtoto wa kike sio hivyo, toto linapakwa mpaka wanja na lip balm, halafu hapo mama yake ndio anaona mtoto wa kisasa kapendeza, anamfungulia kabisa na account insta anaanza kupost picha zake.

Hivi mtoto kama huyu akikua akiwa shoga utamlaumu nani?

Wakina mama hasa ambao bado mna ujana acheni kuwalea watoto hivi, ndio maana watu wa mkoani watazidi kuwadharau wanaume wa Dar.
 

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Messages
727
Points
1,000

Heisenberg blue meth

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2019
727 1,000
Kulea watoto wa kiume mtihani Sheikh,inabidi 24/7 unam_monitor kwenye radar!! Halafu mtoto wa kiume hakuna kucheka naye lazima umpe displini asiwe legelege.
Ndio hivyo, mcheki mtoto wa Irene uwoya inasikitisha sana
 

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Messages
43,990
Points
2,000

mrangi

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2014
43,990 2,000
Hivi Kuna kitu naona watu hamja notice sijui
Vipindi vingi vya kwenye redio ukisikiliza hakuna Vipindi vinavyowafundisha au kuwaelimisha Watoto, Kuanzia asubuhi ni bongo fleva tu sjui kainama, tetemaa, churaaa, minyamaaa
Hapo imewafanya Watoto ku base huko

Ova
Sanaaa mkuu
 

njinjo

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2019
Messages
1,556
Points
2,000

njinjo

JF-Expert Member
Joined Feb 15, 2019
1,556 2,000
Heisenberg blue meth,
Mtoto wa kiume ukitaka kumlea lazima mama awe na displine. Mtoto wa kiume akiona mama anakazwa na mtu asiye baba yake, hapo ndipo mwisho wa mama kuweza kumkemea mtoto maana anamdharau mama yake. Hivyo mtu kama uwoya hawezi kulea! Yeye mwenyewe alikiri kuwa alipoanza kudinyana na dogo janja mama yake alimchukua mtoto akakaa naye, lakini alijua nini kinaendelea
 

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
24,242
Points
2,000

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
24,242 2,000
Nashukuru Mungu sina maisha ya maigizo na maonyesho. Mungu anisaidie niwalee wanangu ktk njia ipasayo.
Na Mungu akujaalie mkuu....
Watu wengi tuna kwama sana, hasa linapo kuja swala la malezi ya watoto.
Mtoto halelewi kwa sanaa, wala maigizo. Mtoto anapaswa alelewe kwa maadili mema, nidhamu na tabia njema. Mtoto hapaswi kulelewa kidigitali, zaidi ya uhalisia wa wakati husika.
 

Forum statistics

Threads 1,379,663
Members 525,486
Posts 33,752,686
Top