Heisenberg blue meth
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 1,310
- 1,633
- Thread starter
- #41
Nimeshakuona kwenye uzi flani hivi, wewe unachojua ni kuleta habari za mastar tuu hauna kingne kichwaniSoma sheria za Jamii forums.
Ahsante
Nimeshakuona kwenye uzi flani hivi, wewe unachojua ni kuleta habari za mastar tuu hauna kingne kichwaniSoma sheria za Jamii forums.
Ahsante
Haya ni maoni yangu tu.stormryder, Muogope Muumba wako
Mtoto wa kike au kiume akiwa goigoi hapendi tabu kila anachoambiwa atafanya, wenzake(watamdhulumu) watakuwa wanamvalisha kamba shingoni wanamwabia kuwa mbwa na yeye anakuwa, wengine wataenda mbali zaidi... Kudhulumiwa ni dhambi, na njia ya kuiacha hiyo dhambi kupambanaaSasa ugomvi nao sifa?