Wakinamama tujifunze kuwalea watoto wa kiume

Wakinamama tujifunze kuwalea watoto wa kiume

Ndio hivyo, mcheki mtoto wa Irene uwoya inasikitisha sana
ngoja akisikia badala ajitahidi kuangalia anakosea wapi,ataleta ustar mpaka kwenye hili jambo.

binafsi nikikutana na mama na kijana wake wa kiume wanarandana masaa mengi uzungu mwiingi,huwa nasikitika tu,matokeo huwa hayako mbali.tulikulia ugumuni ilikuwa ni marufuku kujisogeza kwa mama na watoto wa kike,la sivyo utajuta.
 
Mtoa mada, sio akina mama tu, wote baba na mama wa kizazi hiki wengi ile "moral compass" hatuna au imepungua sana. Vitu vingi kwenye malezi ya watoto tunavichukulia poa au ile kusema "aaah muache si mtoto bado"

Ukiwa mzazi Old School flan unaonekana mnoko mnoko hivi, hata wife anaweza kukumind....... utamwambia mtoto hiki akienda shule anaambiwa kingine akienda kanisani anaambiwa kingine.

Malezi poa poa lazma yawe na mipaka, hata biblia inasema "MLEE MTOTO KATIKA NJIA IMPASAYO NAE HATAIACHA HATA AKIWA MZEE"
 
Nimeshangazwa sana na jinsi hawa wakinamama vijana wa kidigitali wa Jijini Dar es salaam wanavyowalea watoto wao wa kiume.

Toto linadekezwa yaani hata mtoto wa kike sio hivyo, toto linapakwa mpaka wanja na lip balm, halafu hapo mama yake ndio anaona mtoto wa kisasa kapendeza, anamfungulia kabisa na account insta anaanza kupost picha zake.

Hivi mtoto kama huyu akikua akiwa shoga utamlaumu nani?

Wakina mama hasa ambao bado mna ujana acheni kuwalea watoto hivi, ndio maana watu wa mkoani watazidi kuwadharau wanaume wa Dar.
Kama yule mtoto wa Ray kigosi wanamweka vihereni sijui nyele zinatiwa nini wallah halafu mtoto akijakuwa chelea pwani unaanza kwenda kanyaga mafuta kwa mwaposa
 
Mtoto wa kiume Unamnyoa kiduku
Unamvalisha model
Unamsikilizisha hii miziki ya wabana pua
Naye anataka kuvaa kikukuu mguuni
Hapo Kuingia kwenye ushoga ni rahisi

Ova
Nakazia
 
Nisieleweke vibaya, lakini ukichunguza sana single parenting inachangia sana watoto kuwa na tabia za ajabu ajabu tu. Nashindwa kuelewa ni kwa nini mama/baba analea watoto peke yake anashindwa kuwapa discipline/miongozo mizuri ya maisha. Ndio maana huwa wanasema mtoto lazima alelelewe na wazazi wote, tofauti na hapo madhara yake ni makubwa.
 
Nisieleweke vibaya, lakini ukichunguza sana single parenting inachangia sana watoto kuwa na tabia za ajabu ajabu tu. Nashindwa kuelewa ni kwa nini mama/baba analea watoto peke yake anashindwa kuwapa discipline/miongozo mizuri ya maisha. Ndio maana huwa wanasema mtoto lazima alelelewe na wazazi wote, tofauti na hapo madhara yake ni makubwa.
Kuna ukweli kaka
 
Back
Top Bottom