Wakinadada ni wabahili jamani


hufanyi kazi ipasavyo mbona na wao siku hizi wanatoa hadi magari
 
Mwanamke hata awe na kazi gan kutoa pesa yake dah cjui wanawekaga wap ni wagumu sana kwakweli
 
Wengi wanashindwa kujitambua. Siyo kwa waume au wapenzi wao tu, hata wenyewe kwa wenyewe kusaidiana au kukopeshana ni mtihani. Binti anakuwa jasiri kukukopa au kukuomba mwanaume kuliko mwanamke mwenzake,kulikoni?. Wanasema wanataka haki sawa lakini tabia ya baadhi ya wanawake kuwa wabahili na kutosaidiana na waume au wapenzi wao kugharamia baadhi mambo ya msingi hata kama wanaweza inasababisha wanaume sasa kuona mapenzi au kuoa ni mzigo. Wengine wamejaa tamaa tele na kutamani mambo makubwa ambayo hata wazazi wao hawana ila wanataka mume/ mpenzi awe nayo. Sasa hivi ni kuwachezea tu kisha unasepa kukwepa zigo hilo! Ndo utawasikia '' Kan'tenda '' , lazima watendwe tu na mitamaa yao.
 
Huyo dada hajakupenda brother.
Kama amekupenda atakuhonga tu bila shida.
Kamuulize yule jamaa aliyeambiwa ahamie kwa bibi kule Mwanza kisa eti jamaa alimtibia huyo mama wakapendana wakaanza mapenzi jamaa akaambiwa ahamie kabisa nyumbani kwa bibie Evelyn Salt njoo utoe ushuhuda hapa manake ile story naona kama ina mizaha mingi sana.
 
Last edited by a moderator:


Si kweli mimi nimejikuta namsaidia zaidi mpenzi wangu! Mbaya zaidi hata pale kwenye kuhitaji msaada wa kimawazo au kiufundi bado siupati msaada kwake mpk najiuliza am i Stepping stone?
 

Aaah hela ya mwanamke hailiwi ovyo ovyo bana
 
Last edited by a moderator:
Samahani na mwanaume akianza ku cheat na kuhonga nyumba ndogo mnarudi tena kuainisha matumizi ya "pool" money au inakuwaje?!
Au ndo unatakiwa kuendelea kumlisha mke mwenzio?
 
Samahani na mwanaume akianza ku cheat na kuhonga nyumba ndogo mnarudi tena kuainisha matumizi ya "pool" money au inakuwaje?!
Au ndo unatakiwa kuendelea kumlisha mke mwenzio?
Mpendwa anacheat afu utoe tena hela while anazo za kutosha hadi za kuhonga?
 

Nilikuelewa vizuri, sema nilitaka ufunguke zaidi nifaidi,kama hivi teh teh!!!
 
Wanawake wana mambo mengi hasa wenye familia utakuta mahitaji madogo madogo sio lazima aombe anamaliza mwenyewe.Sasa ukitaka kujua kua hafanyi kitu itakua shida mana wanaume wao hua wanafanya investments kubwa kwenye familia kuliko wanawake
 
Ila wanaume tumeumbwa kujitutumua na nina amini kama mwanaume utajitutuma pindi unapokuwa na hela in early stages ya mahusiano baadae kinadada huwa wanakuelewa unless kama ulipata ngurubange, tatizo unakuta mtu upo kwenye pick unakata ela kimazabezabe mwisho wa siku unafulia kweli sasa hapo sasa ndo utaona machungu maana ukiwa na hela unazificha hadi kwenye mambo muhimu alafu umefulia sasa hapo ni kasheshe
 
Kuna kitu wanaume mnaamini sana
Kwamba ukitoa 10000 unaamini inatosha matumizi ya nyumbani,siyo kweli
Mara nyingi vitu vidogovidogo huwa tunavimaliza wenyewe,
Hivi ni mara zote akiongeza chombo kabatini anakudai pesa?
Na hicho wengi hamkichukulii kama mchango katika nyumba hivyo utamuona bahili,
Ila angekua anahainisha kila senti inayotumika ndani mngeelewa.
Tatizo mnapenda kuona kikubwa ila vile vidogo vidogo huwa hamuapriciate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…