kwani ni mlemavu?hata kama! Hivi we utamuacha mumeo anaenda kazini mchafu eti kisa yeye ana asili ya uchafu? Unafikiri nijirani yako au shoga yako ndiye atakaye mfanya awe msafi? Usafi huanzia kwako ***** we ndiye utakaye mfanya mumeo awe safi na nadhifu binadamu hatulingani wengine huo ndio upungu wao so inakubidi ww ndio usimame badala yake, sasa wewe kaa hapa uendelee kukosoa wakati mumeo ananuka mikojo oficn lol..!
Msiwakimbie, wekeni tu hapa majina yao niwakemee mapepo ya uchafu yawatoke. Kuna wanaume wandhani ili uwe mwanaume hasa inalazimika uwe rafu rafu na kunuka. Kasumba ya kunuka ni malezi mabaya, period!Waambie hao. Umesahau na Soksi zao zinavonuka uvundo. Ila mpenzi wangu hanuki.
Unakuta makucha kama 'mmtunge', siku moja moja unamkalisha kitako na kumkata
Wala humuulizi, ni kumkata tu ataelewa mbele ya safari.
kuumwa au kusafiri ni case nyingine kama ww ulimzoesha usafi ataendelea na huo usafi na kama ulikuwa unamuacha na uchafu wake bas ataendelea kuwa mchafu
kwa lugha nyingine its okey kwa mwanaume kuwa mchafu? Kwa nini usafi wa mwili wako mwanaume mpaka uahurutishwe na mwanamke? Kwa lugha nyingine hata usipooga mwezi mzima ni poa tu?
Khaaaaaaaaaaaa
kwani ni mlemavu?
kwani ni mlemavu?
Kuna siku nilirudi hom nikamuuliza wife eti, shati langu likoje kwenye ukosi? maana kuna mtu kaniuliza mbona umevaa shati ukosi umefumuka? Wife akaniuliza 'huyo alokuuliza mwanamke. mwanaume? Nikamwambia "mwanamke" (niliamua kuwa mkweli), akabetua midomo na kusema "huyo mwanamke anayechunguza waume za watu hadi vitu vidogo hivi si atafute wa kwake?"... nikashangaa .."he! mbona hata hakuchunguza, aliona tu by chance?"....
hadi leo nguo zangu zinakaguliwaga sana kabla sijatoka nazo kwenda huko "barabarani"...
Kuna wanamme wasafi hadi anakutoa mwanamke knockout
Ila kuna wanamme wachafu pia
Ila kama wako, mfunze kuwa msafi
Siku bajeti inaruhusu mnunulie vitu vizuri vizuri
Mnunulie deodorant, mist
Na akirudi home, nguo alovaa ziweke kwenye kapu la nguo chafu kabisa au loweka ili kesho asirudie
Nguo ambazo huzipendi, zigawe kwa shamba boi au mlinzi
Weka mikakati unamnunulia ya shati moja kila mwezi au unabadilisha mwezi huu shati unafuata suruali
SInglend na pichu tenga kulingana bajeti nenda kariakoo, utapata tu za cotton kwa bei nafuu
Ukienda na elf 70 mbona utaepusha aibu.
Mshurutishe kuwa msafi kwa kumsimamia aoge, aswaki, anyoe nywele, inawezekana kabisa.
wanawake nao ni wachafu...sema hujisafi mara kwa mara...hivi tukikosa maji siku tatu kati ya mwanamke na mwanaume nani ataonekana mchafu??...kwa hiyo usiseme wanaume ni wachafu sema baadhi hawajisafishi vizuri..
vikwapa sasa ,deodorant buku tano tu inatosha.
mafu....yanatoa harufu,mapu.... yanatema kule yaani tabu tupu.. ngoja niweke vipakti vya gilette hapa
kwa lugha nyingine its okey kwa mwanaume kuwa mchafu? Kwa nini usafi wa mwili wako mwanaume mpaka uahurutishwe na mwanamke? Kwa lugha nyingine hata usipooga mwezi mzima ni poa tu?
Khaaaaaaaaaaaa
Copy: Mentor (zikianza ngumi huko ndani.mie simo)
Hii ya uchafu ni kwa wote..Wanaume hawapendi kuoga na wanawake wanajiachia pia..Utakuta mwanamke anakwenda kazini kavaa nguo za kuogelea .huo ni uchafu.kitu chochote kisipokuwa mahali pake ni uchafu.Nywele sasa za wadada hasa yale mawivingi hazioshwi miezi miwili eti zitafumuka.na ile mimafuta tunapaka inanuka balaa. Tubadilikeni wote
Kongosho muda mwingine uchafu ni hasili ya mtu! Hata ukiamua kumnunulia lazima ujiandae pia kumpangia siku za kuvaa na kuvua.
Aisee Zion Daughter nimekupendaje? Maana mmm hizo nywere za akina dada kweli kichefuchefu kwa wanaume. Kwa taarifa hakuna mwanaume aende kuoga hasianze kichwa, sasa nyie akina dada vichwa vyenu lini vinaoshwaga, havitoi jasho, havina vumbi? Ukisuka huo mtindo wa masai sijui mnaitaje au raster basi miezi mitatu zipo maji hayapiti mwanamke akupita basi utashika pua. Basi wanawake wengine akiwa kwenye PM harufu basi tu wanaume tunavumilia. Hizo sidilia utaiona tu imeoshwa sijui lini, jasho lote, akioga anairudishia, nguo safi lakini yenyewe chafu na ndiyo imeshikilia mali hadimu wanaume tunapenda. Tubadilike lakini na nyie mmezidi wanawake
mtu anakaa na weaving miezi minne eti hadi panya wanazaliana huko