Wakimbieni Wanaume wachafu

Wakimbieni Wanaume wachafu

lol,hapa hakunaga cha mchaf kama wanawake sa kama mtu hauna uchaf unaenda kuoga nin,kati anayeoga mara kwa mara na ambaye anaoga panapostahl yup mwenye hulka ya kichafchaf hapo wanaume ogen as needed
 
Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamani unaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.
mnaishi uswazi??????
 
una matatizo wewe labda hao uliokutana nao ni washamba kama wewe hakuna mwanamke ambaye ajipendi labda awe mvivu na asiyejipenda
Ila kweli, yani kuna wanawake wana nuka kama mizog hata mita 10 mbele akapita una sikia harufu yake, jiulize kwanini kwenye ma hotel makubwa wapishi ni wanaume? ah ah ah!
 
ninyi ndo mmekithiri kwa uuvundo wenu wa uchafu, omba mwanaume aje kwako halafu mwambie vua viatu, hizo soksi utadhani mende kafia hapo lol! kuoga ni muhimu sana hasa kwa afya yako kwani nani amekwambia mtu aogi? wewe yaelekea imekuuma hii thread ndo mana umeona utoe dukuduku lako la moyoni hapa. Mshkuru Muumba wako mtandao ulikuwa unasumbua ningekufundisha namna ya usafi unavyotakiwa kwa mwanadamu na anatakiwa awaje
lol,hapa hakunaga cha mchaf kama wanawake sa kama mtu hauna uchaf unaenda kuoga nin,kati anayeoga mara kwa mara na ambaye anaoga panapostahl yup mwenye hulka ya kichafchaf hapo wanaume ogen as needed
 
naona leo kinadada mmeamua kutuchana live, ok ni ushauri mzuri kwa unawaowahusu wauchukue, pia na nyie dada zetu (baadhi) muwe wasafi, hasa nyie mnaonyonyesha.
 
ah ah! Basi hata wewe hao wanaume ulio kutana nao ni washamba kama wewe.
Copy: Bishanga
una matatizo wewe labda hao uliokutana nao ni washamba kama wewe hakuna mwanamke ambaye ajipendi labda awe mvivu na asiyejipenda
 
Last edited by a moderator:
wewe tangia siku ile unanitafuta sana hebu niache mwana wa mwenzio, tena nasema samahani mm nakutana wanaume handsome kama mume wangu Mentor wewe unamuonaje amesheheni kila idara, na ana mvuto wa ajabu sitaki kuweka picha yake hapa kwani mtanionea wivu hasa wa....d.....d..... simalizii hapa au nikuoneshe uone kuwa nakutana ngoja mcheki mwenyewe jinsi utaimba haleluyaaa wewe handsome 1.jpg acha nikuoneshe na hii ili ubroo mwenyewe handsome 2.jpg sasa hapa UNASEMA KUWA NI MSHAMBA, Thubuttuuuuuuuuuuu mshamba wewe hapo uliyetoka upcountry hata kuvaa hujui, ukiendelea nitamwambia my husband wangu mentor
ah ah! Basi hata wewe hao wanaume ulio kutana nao ni washamba kama wewe.
Copy: Bishanga
 
Last edited by a moderator:
wanawake ni wasafi si mchezo tena wana mvuto wa ajabu cheki huyu anayenyonyesha usirudie kusema wanawake ni wachafu nyie ndo wachafu mliokithiri tena sana na mnanuka mvundo wa soksi zenu angalia mama huyu mama.jpg mama 2.jpg mama3.jpg SASA HAPA UTASEMA KUWA WANAWAKE WANAONYONYESHA NI WACHAFU WEE KOMA KM ULIVYOKOMA KATIKA................................ WEWE CHUNGA ULIMI WAKO
 
ah ah ah! haya bana we mkalee ngoja nikae pembeni nikuache upumue na Mentor wako.. mie ninapopita ni pa class A V.I.P kama unabisha jipigize hewani
wewe tangia siku ile unanitafuta sana hebu niache mwana wa mwenzio, tena nasema samahani mm nakutana wanaume handsome kama mume wangu Mentor wewe unamuonaje amesheheni kila idara, na ana mvuto wa ajabu sitaki kuweka picha yake hapa kwani mtanionea wivu hasa wa....d.....d..... simalizii hapa au nikuoneshe uone kuwa nakutana ngoja mcheki mwenyewe jinsi utaimba haleluyaaa wewe View attachment 88103 acha nikuoneshe na hii ili ubroo mwenyewe View attachment 88104sasa hapa UNASEMA KUWA NI MSHAMBA, Thubuttuuuuuuuuuuu mshamba wewe hapo uliyetoka upcountry hata kuvaa hujui, ukiendelea nitamwambia my husband wangu mentor
 
Last edited by a moderator:
hebu naomba umwambie huyu maana naona anainitafuta mm niongee best sijui kwanini ananifuatilia kiasi hicho naona mm kuwa na wewe wanakereka mioyoni mwao waambie hawa bhana mm nimechoka kufuatwafuatwa
manoah...😛layball:
 
jamani muache mume wangu mbona unamsakama hivyo, akikaa na dada zake kosa kwanini lakini? si ungefuata ukamuliza huyo aliyekaa naye ni nani? sipendi kumuingilia mume wangu, wewe nikikuingilia kwa mkeo utakuwaje? mwache laaziz wangu atulie, au unafikiri mm akili itaniruka nianze kumuliza alikuwa na nani? thubutuuu moyo ushapenda hata haungalii makosa ya kijinga kama hayo weeeeeeeeee
Utaoa lini? ah ah ah! yule binti jilani yenu anaendeleaje, maana siku ile mlipendeza sana
 
ah ah ah! Mentor mwenyewe aliniambia sio dada zake ni mahawa wake, mie sina mke kwaiyo huna pa kwenda kushtaki duh! Kama umewekwa kwa chupa vile unasalitiwa live live

jamani muache mume wangu mbona unamsakama hivyo, akikaa na dada zake kosa kwanini lakini? si ungefuata ukamuliza huyo aliyekaa naye ni nani? sipendi kumuingilia mume wangu, wewe nikikuingilia kwa mkeo utakuwaje? mwache laaziz wangu atulie, au unafikiri mm akili itaniruka nianze kumuliza alikuwa na nani? thubutuuu moyo ushapenda hata haungalii makosa ya kijinga kama hayo weeeeeeeeee
 
Last edited by a moderator:
Lol, usiombe aisee ukutane na hii type, leo niko Bank House NMB kwenye foleni mara mwanaume kanigusa mgongoni aniulize ile kufungua tu mdomo pua zangu (very sensitive) zikapokea harufu kali as if mtu hajapiga mswaki mwezi mzima, sasa nikajiuliza mtu huyu asubuhi hii aliamkaje na hadi akafika maeneo haya pasipokusafisha kinywa chake?Loh, jirekebisheni. Afu kuna ili kabila la Wajaluo, wengi wao huwa hawafanyiwi tohara kisa wanaenzi mila zao, jamani mnakeraaaaa!!Nina shemeji yangu naishi nae jamani ni kero kero kero, haambiliki hata kidogo, yani kwa kweli hata wanaofanyaga nae matusi sijui wanajisikiaje, pooooh!!!!!nahisi kichefuchefu mie
 
niachekwanini unaingilia ndoa za watu wewe?, kama nasalitiwa inakuuma nini kwani wewe ndiye wako? haaa ushanichosha akili zangu mie naendakulala
ah ah ah! Mentor mwenyewe aliniambia sio dada zake ni mahawa wake, mie sina mke kwaiyo huna pa kwenda kushtaki duh! Kama umewekwa kwa chupa vile unasalitiwa live live
 
Back
Top Bottom