Wakimbieni Wanaume wachafu

Wakimbieni Wanaume wachafu

Best natafuta mtu wa kunikosha na kunivika, nasikia weye umekolifai kwenye hiyo mambo....pulizzz usintose maana dili hili sitaki limkute Kongosho wala King'asti.

hivi wanaume akili zao zipo kwapani? Mtu mzima anasubiri asafishwe na mkewe? Yeye hana akili za kujua kuwa anapaswa kuwa msafi? Usafi ni hulka ya mtu....hao wake zenu msiwatwishe mizigo isiyo lazima.......... Akiumwa? Akisafiri?
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli nimeipenda thread hii................Wanaume tumekimbia bila kutoa mchango, na hata waliotoa wamebip bip tu.Au ujumbe huu umegusa kwenye ukweli.
Siku moja nikiwa sekondari ya wavulana, kuna jamaa alimuambia mshikaji awe anafua chupi, kwa kuwa harufu ya chumba chao imetawaliwa na harufu ya chupi yake.Jamaa akasema hawezi kufua chupi kila siku kama mtoto wa kike, na akaongezea kwamba mwanaume kaumbiwa uchafu.
Dada hapa umeongea ukweli, na ndiyo maana wachangiaji wa kiume wamepungua kwenye thread hii.Na huu ni ukweli ambao huwa tukiambiwa na wapendwa wetu, mapenzi yanaweza kuwa hatarini.Imagine, umembusu mpenzi wako, akajitahidi ku-respond lakini ghafla akaanza kutapika, ikitokea akakuambia ni harufu ya mdomo wako, badala ya kufikiria suala la usafi, utaona kama amekutukana vile.
Na wakati mwingine tuna katabia ka kutumia perfume nyingi ili kuficha harufu za miili yetu.kwani maji ya kuoga yamepanda bei?

Harufu za soksi ndiyo usiseme.nakumbuka nilipokuwa boarding school harufu ya soksi hata kwangu ilikuwa ni kawaida kabisa, ila nikakutana na jamaa ambaye harufu ya soksi zake ni balaa, na mbaya zaidi alikuwa na fangasi miguuni.akivua soksi ukaangalia miguu yake, mwili unakusisimka.lakini cha ajabu mabinti wa shule ya jirani walishawahi kupigana kwa kugombea penzi lake.sijui na haka ka-harufu kalikuwa na mvuto kwa mabinti!
Tunashukuru kwa kuleta mada hii, umegusa uwanja ambao unatuhusu vilivyo.
 
Kuna wanamme wasafi hadi anakutoa mwanamke knockout
Ila kuna wanamme wachafu pia

Ila kama wako, mfunze kuwa msafi
Siku bajeti inaruhusu mnunulie vitu vizuri vizuri
Mnunulie deodorant, mist

Na akirudi home, nguo alovaa ziweke kwenye kapu la nguo chafu kabisa au loweka ili kesho asirudie
Nguo ambazo huzipendi, zigawe kwa shamba boi au mlinzi
Weka mikakati unamnunulia ya shati moja kila mwezi au unabadilisha mwezi huu shati unafuata suruali

SInglend na pichu tenga kulingana bajeti nenda kariakoo, utapata tu za cotton kwa bei nafuu
Ukienda na elf 70 mbona utaepusha aibu.

Mshurutishe kuwa msafi kwa kumsimamia aoge, aswaki, anyoe nywele, inawezekana kabisa.
 
Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamaniunaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.

Maelezo yako ya kwenye green na ya kwenye red yanaji contradict yenyewe kwa yenyewe.

1+(-1)=0
 
Maelezo yako ya kwenye green na ya kwenye red yanaji contradict yenyewe kwa yenyewe.

1+(-1)=0
wewe ni mhusika mmja wapo mbona kila kitu kinaeleweka hapo.mimi siwezi kaa na mwanamme mchafu sababbu mimi sio mchafu.
hayo mengine nimbwembwe tu.au ulitaka nijue wajua hesabu!!!!!
 
hiyo nayo pia ni hesabu?
Bado green na red hazi support each other.
 
Msg sent.....watajirekebisha

Waambie hao.
Umesahau na Soksi zao zinavonuka uvundo.
Ila mpenzi wangu hanuki.

hili nalo neno....usiombe kukaa kwenye mkutano jirani na mwanaume anayenuka mapumbuu au makwapa.... Usipotapika kichwa kitakuuma siku tatu......shurti kunuka uvundo.....

MSG DELIVED watabadilika tu:crying:
Wapo wanawake wachafu pia tena wachafu sana. Hasa kipindi hiki ambacho vitendo vya kugegedana maofisini vimeshika kasi. Unakuta mdada katoka kufanya hiyo suna alafu hanawi vizuri, ukipishana nae anatema hadi mtu unatamani kutapika. Akikaa akaachama miguu kigodo ndo balaa tena. Na tatizo linakuwa kubwa zaidi pale unapikuta walitumia hizi ndom za bei nafuu kama salama...
 
Tuko naomba uwataje tuwafundishe nidhamu kazini na namna ya kujiweka safi
 
Last edited by a moderator:
Bwa ha ha ha!! wanawake kazi ipo, mweeh!!

usafi ni jukumu lako mwenyewe kama binadamu iwe umeoa au hujaoa.

hata kama! Hivi we utamuacha mumeo anaenda kazini mchafu eti kisa yeye ana asili ya uchafu? Unafikiri nijirani yako au shoga yako ndiye atakaye mfanya awe msafi? Usafi huanzia kwako ***** we ndiye utakaye mfanya mumeo awe safi na nadhifu binadamu hatulingani wengine huo ndio upungu wao so inakubidi ww ndio usimame badala yake, sasa wewe kaa hapa uendelee kukosoa wakati mumeo ananuka mikojo oficn lol..!
 
Kuna wanamme wasafi hadi anakutoa mwanamke knockout
Ila kuna wanamme wachafu pia

Ila kama wako, mfunze kuwa msafi
Siku bajeti inaruhusu mnunulie vitu vizuri vizuri
Mnunulie deodorant, mist

Na akirudi home, nguo alovaa ziweke kwenye kapu la nguo chafu kabisa au loweka ili kesho asirudie
Nguo ambazo huzipendi, zigawe kwa shamba boi au mlinzi
Weka mikakati unamnunulia ya shati moja kila mwezi au unabadilisha mwezi huu shati unafuata suruali

SInglend na pichu tenga kulingana bajeti nenda kariakoo, utapata tu za cotton kwa bei nafuu
Ukienda na elf 70 mbona utaepusha aibu.

Mshurutishe kuwa msafi kwa kumsimamia aoge, aswaki, anyoe nywele, inawezekana kabisa.

Well said
 
kuna mdada alikuwa anatembea na mume wa mtu sasa huyo jamaa mchafu ,chupi yenyewe moja tena imechoka balaaa mbona alimfungia safari mke wake na mfuko wa chupi mpya kibao! na dodoki la kuogea...weeee bia bibia akambebea nae chupi na masidiria kibao
 
hivi wanaume akili zao zipo kwapani? Mtu mzima anasubiri asafishwe na mkewe? Yeye hana akili za kujua kuwa anapaswa kuwa msafi? Usafi ni hulka ya mtu....hao wake zenu msiwatwishe mizigo isiyo lazima.......... Akiumwa? Akisafiri?

kuumwa au kusafiri ni case nyingine kama ww ulimzoesha usafi ataendelea na huo usafi na kama ulikuwa unamuacha na uchafu wake bas ataendelea kuwa mchafu
 
wanawake nao ni wachafu...sema hujisafi mara kwa mara...hivi tukikosa maji siku tatu kati ya mwanamke na mwanaume nani ataonekana mchafu??...kwa hiyo usiseme wanaume ni wachafu sema baadhi hawajisafishi vizuri..
 
kuna mdada alikuwa anatembea na mume wa mtu sasa huyo jamaa mchafu ,chupi yenyewe moja tena imechoka balaaa mbona alimfungia safari mke wake na mfuko wa chupi mpya kibao! na dodoki la kuogea...weeee bia bibia akambebea nae chupi na masidiria kibao

well said! Yaani ungekuwa karibu na mimi ningekupa mkono. SASA HAO WANAOSUBIRIA MUME AWE MSAFI BILA WAO KUWAFANYIA USAFI NDIO HAO WAUMEZAO WANAENDA KUFANYIWA USAFI NA KIMADA... WE UNAFIKIRI KIMADA ATAACHIKA KWA KUMUONYESHA NJIA YA USAFI MUME WA MTU?
 
Ha ha ha ha, kuna wanawake bana

Wanawatelekeza waume zao kama watoto yatima
Unakuta katoka home hata nywele hajachana shati halijapigwa pasi

Mie kuna mtu niliwahi mletea losheni ya kupaka kazini, tena mbaba mzima na wala hatuna lolote
Anakuja kapauka kama kaangukia kwenye unga, afu mkewe msomi kabisa wa mastaz
Nikamwambia nakupa hii, iache ofisini, siku akija kapauka namkumbusha apake losheni

kuna mdada alikuwa anatembea na mume wa mtu sasa huyo jamaa mchafu ,chupi yenyewe moja tena imechoka balaaa mbona alimfungia safari mke wake na mfuko wa chupi mpya kibao! na dodoki la kuogea...weeee bia bibia akambebea nae chupi na masidiria kibao
 
Unakuta makucha kama 'mmtunge', siku moja moja unamkalisha kitako na kumkata
Wala humuulizi, ni kumkata tu ataelewa mbele ya safari.
 
Nivea nimekupenda bure kwa hii point yako loh,mwanamke ukiwa mchafu tegemea kupata mwanaume mchafu pia! na hayo maboxer ya rangi za rainbow hua yananichefuaje jamani?unakuta linaonekana kwa juu la rangi nyekundu au njano afu limeandikwa cow boy afu lichafuu loooh!
Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamani unaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha ha, kuna wanawake bana

Wanawatelekeza waume zao kama watoto yatima
Unakuta katoka home hata nywele hajachana shati halijapigwa pasi

Mie kuna mtu niliwahi mletea losheni ya kupaka kazini, tena mbaba mzima na wala hatuna lolote
Anakuja kapauka kama kaangukia kwenye unga, afu mkewe msomi kabisa wa mastaz
Nikamwambia nakupa hii, iache ofisini, siku akija kapauka namkumbusha apake losheni
vikwapa sasa ,deodorant buku tano tu inatosha.
mafu....yanatoa harufu,mapu.... yanatema kule yaani tabu tupu.. ngoja niweke vipakti vya gilette hapa
 
wapo wanawake wachafu pia tena wachafu sana. Hasa kipindi hiki ambacho vitendo vya kugegedana maofisini vimeshika kasi. Unakuta mdada katoka kufanya hiyo suna alafu hanawi vizuri, ukipishana nae anatema hadi mtu unatamani kutapika. Akikaa akaachama miguu kigodo ndo balaa tena. Na tatizo linakuwa kubwa zaidi pale unapikuta walitumia hizi ndom za bei nafuu kama salama...
ofsi gani hiyo?
 
Back
Top Bottom