hivi wanaume akili zao zipo kwapani? Mtu mzima anasubiri asafishwe na mkewe? Yeye hana akili za kujua kuwa anapaswa kuwa msafi? Usafi ni hulka ya mtu....hao wake zenu msiwatwishe mizigo isiyo lazima.......... Akiumwa? Akisafiri?
mtu anakaa na weaving miezi minne eti hadi panya wanazaliana hukoHahahahahahahahaha!
Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamaniunaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.
wewe ni mhusika mmja wapo mbona kila kitu kinaeleweka hapo.mimi siwezi kaa na mwanamme mchafu sababbu mimi sio mchafu.Maelezo yako ya kwenye green na ya kwenye red yanaji contradict yenyewe kwa yenyewe.
1+(-1)=0
wewe ni mhusika mmja wapo mbona kila kitu kinaeleweka hapo.mimi siwezi kaa na mwanamme mchafu sababbu mimi sio mchafu.
hayo mengine nimbwembwe tu.au ulitaka nijue wajua hesabu!!!!!
Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamaniunaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.
Maelezo yako ya kwenye green na ya kwenye red yanaji contradict yenyewe kwa yenyewe.
Msg sent.....watajirekebisha
Waambie hao.
Umesahau na Soksi zao zinavonuka uvundo.
Ila mpenzi wangu hanuki.
hili nalo neno....usiombe kukaa kwenye mkutano jirani na mwanaume anayenuka mapumbuu au makwapa.... Usipotapika kichwa kitakuuma siku tatu......shurti kunuka uvundo.....
Wapo wanawake wachafu pia tena wachafu sana. Hasa kipindi hiki ambacho vitendo vya kugegedana maofisini vimeshika kasi. Unakuta mdada katoka kufanya hiyo suna alafu hanawi vizuri, ukipishana nae anatema hadi mtu unatamani kutapika. Akikaa akaachama miguu kigodo ndo balaa tena. Na tatizo linakuwa kubwa zaidi pale unapikuta walitumia hizi ndom za bei nafuu kama salama...MSG DELIVED watabadilika tu:crying:
Bwa ha ha ha!! wanawake kazi ipo, mweeh!!
usafi ni jukumu lako mwenyewe kama binadamu iwe umeoa au hujaoa.
Kuna wanamme wasafi hadi anakutoa mwanamke knockout
Ila kuna wanamme wachafu pia
Ila kama wako, mfunze kuwa msafi
Siku bajeti inaruhusu mnunulie vitu vizuri vizuri
Mnunulie deodorant, mist
Na akirudi home, nguo alovaa ziweke kwenye kapu la nguo chafu kabisa au loweka ili kesho asirudie
Nguo ambazo huzipendi, zigawe kwa shamba boi au mlinzi
Weka mikakati unamnunulia ya shati moja kila mwezi au unabadilisha mwezi huu shati unafuata suruali
SInglend na pichu tenga kulingana bajeti nenda kariakoo, utapata tu za cotton kwa bei nafuu
Ukienda na elf 70 mbona utaepusha aibu.
Mshurutishe kuwa msafi kwa kumsimamia aoge, aswaki, anyoe nywele, inawezekana kabisa.
kuna mdada alikuwa anatembea na mume wa mtu sasa huyo jamaa mchafu ,chupi yenyewe moja tena imechoka balaaa mbona alimfungia safari mke wake na mfuko wa chupi mpya kibao! na dodoki la kuogea...weeee bia bibia akambebea nae chupi na masidiria kibaoKuna wanamme wasafi hadi anakutoa mwanamke knockout
Ila kuna wanamme wachafu pia
Ila kama wako, mfunze kuwa msafi
Siku bajeti inaruhusu mnunulie vitu vizuri vizuri
Mnunulie deodorant, mist
Na akirudi home, nguo alovaa ziweke kwenye kapu la nguo chafu kabisa au loweka ili kesho asirudie
Nguo ambazo huzipendi, zigawe kwa shamba boi au mlinzi
Weka mikakati unamnunulia ya shati moja kila mwezi au unabadilisha mwezi huu shati unafuata suruali
SInglend na pichu tenga kulingana bajeti nenda kariakoo, utapata tu za cotton kwa bei nafuu
Ukienda na elf 70 mbona utaepusha aibu.
Mshurutishe kuwa msafi kwa kumsimamia aoge, aswaki, anyoe nywele, inawezekana kabisa.
hivi wanaume akili zao zipo kwapani? Mtu mzima anasubiri asafishwe na mkewe? Yeye hana akili za kujua kuwa anapaswa kuwa msafi? Usafi ni hulka ya mtu....hao wake zenu msiwatwishe mizigo isiyo lazima.......... Akiumwa? Akisafiri?
kuna mdada alikuwa anatembea na mume wa mtu sasa huyo jamaa mchafu ,chupi yenyewe moja tena imechoka balaaa mbona alimfungia safari mke wake na mfuko wa chupi mpya kibao! na dodoki la kuogea...weeee bia bibia akambebea nae chupi na masidiria kibao

Ndege wanaofanan huruka pamoja mie na mwanamme mchafu nkutane nae wapi? Mwanaume anayevaa boxer za marangi ya bluu,kijani,nyeusi,brown,kahawia,nyekundu na rangi zote zinazoficha uchafu ,huyo mchafu kabisa najua nimewagusa hapa na wengine ndio mmeutinga hahahahahhaha jiangalieni nyie wachafu kabisa.kuna mijianaume michafu jamani unaliona linakwenda bafuni na shorts na kachupi kanachungulia juu ,anaoga then anarudi kama alivoenda ameoga amerudia lol.
vikwapa sasa ,deodorant buku tano tu inatosha.Ha ha ha ha, kuna wanawake bana
Wanawatelekeza waume zao kama watoto yatima
Unakuta katoka home hata nywele hajachana shati halijapigwa pasi
Mie kuna mtu niliwahi mletea losheni ya kupaka kazini, tena mbaba mzima na wala hatuna lolote
Anakuja kapauka kama kaangukia kwenye unga, afu mkewe msomi kabisa wa mastaz
Nikamwambia nakupa hii, iache ofisini, siku akija kapauka namkumbusha apake losheni
ofsi gani hiyo?wapo wanawake wachafu pia tena wachafu sana. Hasa kipindi hiki ambacho vitendo vya kugegedana maofisini vimeshika kasi. Unakuta mdada katoka kufanya hiyo suna alafu hanawi vizuri, ukipishana nae anatema hadi mtu unatamani kutapika. Akikaa akaachama miguu kigodo ndo balaa tena. Na tatizo linakuwa kubwa zaidi pale unapikuta walitumia hizi ndom za bei nafuu kama salama...