Hii dress code nadhani sio proper, darasa la itifaki ya mavazi halikuzingatiwa.
Wakili alikurupuka sana.Nilitegemea baada ya Speech ya Jana ya Waziri, leo Mzee wa Kokoto au Piko anayemtetea Sandaland aje na Come back ya kibabe...vipi mbona kimya???
Sandland alipaswa kutafuta wakili mzoefu.Wakili alikurupuka sana.
Alafu pia Makonda kahamisha goli!