Jukwaa la JamiiForums limekuwa mhimili wa fikra huru, na leo nataka niwashirikishe mtazamo wangu wa kisheria kuhusu mmoja ya migogoro mikubwa ya kibiashara na kimamlaka nchini kwa sasa. Kesi iliyofunguliwa na mfanyabiashara Sandaland dhidi ya Waziri Paul Makonda si kesi ya jinai ya kawaida, bali...
Utawala wa Sheria Ushinde: Kila Mtanzania Anunue Jezi Halisi ya Taifa Stars Kutoka Sandaland!
Katika nchi inayoongozwa na misingi ya sheria, maoni binafsi ya kiongozi hayawezi kamwe kuwa juu ya mikataba halali na sheria za nchi. Sakata la jezi za Taifa Stars limeonyesha wazi ukiukwaji mkubwa wa...
Nilikuwa naona aibu kuona timu ya serikali imevalishwa fulana badala ya jezi. Nilikuwa namuoenea huruma Rais wa TFF kavaa tambala badala ya jezi.
Mwanzo nilimkataa Sanda kwakuwa alikuwa anatoa jezi ya Simba pia, lakini baadae nilimkataa kwasababu ya ubora wa jezi. Sina jezi ya Timu ya Taifa...
"Serikali inayo fursa ya kutoa maoni juu ya uboreshwaji wa jezi pasipo kuwa na ulazima wa kuingilia mkataba."- Damas Ndumbaro, Mbunge wa Songea Mjini ambae alikuwa Waziri wa Michezo.
Anasema mjadala huu wa jezi hauna afya katika kipindi hiki ambacho tunajiandaa kwenda Afcon.
"Ukiisoma barua ya...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limesikitishwa na matumizi ya nembo yake kwenye mkutano na waandishi ulioandaliwa na kampuni ya Sandaland Fashion Wear.
Tunapenda kusisitiza kuwa TFF haikuwa sehemu, wala kujua kabla maudhui ya Mkutano huo uliofanyika leo jijini Dar es Salaam, na...
Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku, amesema mkataba kati ya kampuni hiyo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) unapaswa kuheshimiwa kwa mujibu wa masharti yake.
Amesema kwa kuzingatia kanuni ya sanctity of contract na the...
Uongozi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear limited unatarajia kuzungumza na Waandishi wa Habari kesho September 22 2026 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam kuanzia saa tano kamili asubuhi.
Hata hivyo kupitia taarifa yake kwa Umma, Kampuni hiyo ambayo ndiyo yenye tenda ya jezi za Timu...
Sitaki kuwachosha ila kuna maamuzi yalufanywa na watu wanaoongoza mpira ambao elimu zao ya chinibni degree.
1. Kwamba mchezaji wa nje atakayesajiliwa na timu zetu,awe anacheza timu ya taifa ya nchi husika!!
Maana yake hatutakuwa na wachezaji kutoka Senegal,Ivory Coast,DR Congo,South Africa n.k...
Makonda yupo sahihi sana,tukumbuke makonda ni kijana mwenye ubunifu wa hali ya juu sana,haikupaswa kwa wakati kuwa na jezi zile zile za kimazoea,jezi za wakati wa msimu huu zilistahili kuwa extra katika utengenezaji wake alama zake nini cha kuongeza kwa promo kubwa zaidi katika kulitangaza taifa...
Hapa kuna maswali kadhaa ambayo naamini TFF na Wizara wanapaswa kuyajibu waziwazi.
Jezi hizi zilifikaje hatua ya kuzinduliwa, kupromotiwa na kuanza kutangazwa rasmi kama jezi za Taifa Stars kama kweli Wizara haikuwa na taarifa wala haikutambua mchakato huo?
Naibu Waziri alionekana akiwa amevaa...
Utangulizi
Mzozo mkubwa wa kimaslahi, kisheria na kiutendaji umezuka rasmi katika sekta ya michezo nchini, baada ya kampuni ya kusambaza mavazi ya Sandaland Fashion Wear Limited kutangaza nia ya kufungua shauri la kisheria dhidi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda...
hamna hamna hii issue inaweza ikakata mtaji:
ingekua ni mimi ningechutama kwa Waziri aingie front kunisafisha
kwa situation ya kisiasa ilivyo bongo ni kulinda mtaji tu
Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited imetangaza nia ya kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Paul Makonda, kufuatia kauli yake aliyoitoa hivi karibuni kwenye mitandao ya kijamii iliyoponda ubora na uhalali wa jezi mpya za timu ya taifa ya mpira...
Club ya Simba imeingia mikataba mingi tena minono ya mabillioni toka kampuni tofauti ambayo baadhi ya mikataba iko wazi na mingine sio wazi. Apo chini tuone mikataba na thamani zake.
BETWAY:- 20 billion kwa miaka 3
JAYRUTY:- 36 billion
MO foundation:- Sio wazi
MO energy:- Sio wazi
MO cola:-...
Kampuni ya JAYRUTTY imeshinda tenda ya zabuni ya utengenezaji na usambazaji wa jezi za Simba SC.
Klabu ya Simba imesaini mkataba wa miaka mitano wenye thamani ya Bilioni 38,120,400,000 na Kampuni ya JAYRUTTY kwa ajili ya kutengeneza na kusambaza jezi na vifaa vyenye nembo ya Simba.
Kampuni ya...
Utu uzima dawa Manara ametumia utu uzima na busara zake kumuombea msamaha Ally Kamwe .
Adai masuala ya michezo ni tofauti sana ni mambo mengine kama uinjinia , udaktari ..nk
https://youtu.be/cUoVBt40irw?si=8ujhQqXeDnsOBJ7U
Wakuu
Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake.
Wanadai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.