ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,764
Mawakili sio BAKWATA wala CWTKweli hatuna mawakili Tanzania bali tuna wachumia tumbo, mnamchaguaje mtu ambaye hawezi hata kujenga hoja???? Yaani mihemuko ndiyo mnadhani itawapeleka huko mnakodhani??? Shame on hawa mawakili.
