Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

Picha ninayoipata ni kuwa "watu" na sio wanasheria tu, hawaipendi CCM maana Wasonga ni CCM.. akina Jerry Muro &Co.Ltd!
To me, naona ni upuuzi kuweka taaluma sambamba na siasa, hivi leo hii itokee wahandisi, madaktari n.k wakaanza kufanya kazi kwa misingi ya itikadi ya kusiasa kama.wanasheria wanavyotaka kudhihirisha hili... tutafika kweli? Tunaweheshimu wanasheria watumikie watu wote bila kujigawa kwenye itikadi.
 
Quick observation, zinaonyesha jamii inahamasika sana kwenye chaguzi yeyote au malumbano yeyote ambayo mtu anayeonekana vocal against government anashiriki, na waliowengi hufurahi akishinda dhidi ya perceived resistance kutoka serikalini. Hii ni dalili kwamba waliowengi wanapinga serikali ila hawana wa kuwasemea na ni dalili kwamba serikali inaminya uhuru wa Wananchi wake. Kama ningekuwa nashauri serikali ningewaambiwa waanze kujitathmini na kuchukua corrective measure, ukiondoa ushabiki wa kisiasa na ukifuata kanuni ya sayansi ya jamii, this is not health for our nation.
Exactly, these results tell a lot as you have put it! They signal important msg that "Tanzanians" are not on the side of the government's human rights violations picture, gross ones, what is seen as support to it is hypocrisy!
 
To me, naona ni upuuzi kuweka taaluma sambamba na siasa, hivi leo hii itokee wahandisi, madaktari n.k wakaanza kufanya kazi kwa misingi ya itikadi ya kusiasa kama.wanasheria wanavyotaka kudhihirisha hili... tutafika kweli? Tunaweheshimu wanasheria watumikie watu wote bila kujigawa kwenye itikadi.
Hapa issue ni kutetea utawala wa sheria na siyo siasa! We did not see that wakati JK, why? Human rights violations were not rampant as today!
 
Hapa issue ni kutetea utawala wa sheria na siyo siasa! We did not see that wakati JK, why? Human rights violations were not rampant as today!
Kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa Wasonga(simtetei) haamini katika utawala wa.sheria? Na ndio kigezo cha kuangauka kwake? Maana hapa nanusa harufu ya mawakili wa CCM na wasio wa CCM
 
Kwa hiyo unataka kuniaminisha kuwa Wasonga(simtetei) haamini katika utawala wa.sheria? Na ndio kigezo cha kuangauka kwake? Maana hapa nanusa harufu ya mawakili wa CCM na wasio wa CCM
It might be so, kama mtu anasimama na kusema there is no problem with this regime, then..........
Ila hakuna makundi hayo ya mawakili, mawakili wanataka utawala wa sheria na si MATAMO.....
 
It might be so, kama mtu anasimama na kusema there is no problem with this regime, then..........
Ila hakuna makundi hayo ya mawakili, mawakili wanataka utawala wa sheria na si MATAMO.....
Mi sio mwanasheria ila inabidi niende deep kidogo kuangalia chimbuko la TLS wakati ule na nilinganishe na mazingira halusi ya sasa nibaini kama bado malengo yake ya kuanzishwa kwake ndio yakeyale kwa nyakati hizi ama yamebadilika na kujikuta hayana mwelekeo.
Zamani wakoloni na sasa nchi huru. Walishafanya ammendments zozote?
 
Kweli hatuna mawakili Tanzania bali tuna wachumia tumbo, mnamchaguaje mtu ambaye hawezi hata kujenga hoja???? Malaya mtu wa kutukana watu???? Yaani mihemuko ndiyo mnadhani itawapeleka huko mnakodhani??? Shame on hawa mawakili.
Duh! Kweli wadiriki kumwita mtu malaya! Kweli tuko huru!
 
Mi sio mwanasheria ila inabidi niende deep kidogo kuangalia chimbuko la TLS wakati ule na nilinganishe na mazingira halusi ya sasa nibaini kama bado malengo yake ya kuanzishwa kwake ndio yakeyale kwa nyakati hizi ama yamebadilika na kujikuta hayana mwelekeo.
Zamani wakoloni na sasa nchi huru. Walishafanya ammendments zozote?
Rafiki, kwa nchi za kiafrika, Asia, Carribean and some few others, kinachoitwa "tulipata uhuru" ni kutoa makucha ya uonevu, ukandamizaji, uuaji etc kwa MWEUPE na kuyaweka kwa MWEUSI!
 
Rafiki, kwa nchi za kiafrika, Asia, Carribian and some few others, kinachoitwa "tulipata uhuru" ni kutoa makucha ya uonevu, ukandamizaji, uuaji etc kwa MWEUPE na kuyaweka kwa MWEUSI!
Mweusi anaitwa mkoloni ama ana jina jingine tofauti akivaa hizo kazi za mweupe
 
Mamluki huyo mwanamke wenu. Juzi kati hapa anajidai atamshitaki rais, kitu ambacho ni nonesense ila ninyi wanasheria mnaona ni cha maana. Tundu Lisu ukiondoa ugonjwa wake wa akili ambao ni wa kurithi wa kifamilia, he is good, na ana maono, ila huyu bi dada sioni kama chama kitafanikiwa kutekeleza yale ambayo ninyi chama cha wanasheria mmekusudia
Hicho ni haki yake, huna moral authority ya kumuita Malaya
Wewe ndio Malaya unaeshinda hapa jukwaani kutetea ujinga
 
Hivi huyu wakili kuna mtu mwenye akili timamu anaweza kumtumia?! Huyu ukimtumia si atafanya na kuongea matakataka yake, na kesi anashindwa kiulaini tu!
 
Tuliosoma MAGAZIJUTO tunampa moyo kwamba asichoke,kwa kuwa Urais wa TLS si wa kipindi cha miaka mitano mitano kama urais wa nchi,na kwamba ni wa mwaka mmoja mmoja bila kurudia,hivyo basi kwa kuwa yeye kapata 6 dhidi ya mshindi aliyepata 820 basi bila kuzingatia umri wake wa sasa ajaribu tena mara 137 kwa maana ya miaka 137 ijayo maana ukizidisha mwaka huo kwa kura zake 6 atakuwa na hakika ya kupata kura zitafi 822 ambazo hazitafikiwa na mtu yeyote hivyo ataibuka mshindi tu!
 
Naunga hoja, lugha aliyotumia sio ya Great Thinkers! Ni shutuma za kijinsia na haifai kuvumiliwa hata chembe. Kumwondoa kwenye kundi hili ni ishara ya kuheshimu utu wa ubinadamu wetu. Mwondoe mwondoe!
Sijui kama watafanya make ccm imepenya mpaka bac
 
Mamluki huyo mwanamke wenu. Juzi kati hapa anajidai atamshitaki rais, kitu ambacho ni nonesense ila ninyi wanasheria mnaona ni cha maana. Tundu Lisu ukiondoa ugonjwa wake wa akili ambao ni wa kurithi wa kifamilia, he is good, na ana maono, ila huyu bi dada sioni kama chama kitafanikiwa kutekeleza yale ambayo ninyi chama cha wanasheria mmekusudia
Kajambe huko
 
Back
Top Bottom