Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

Wakili Godfrey Wasonga Jitafakari

Umepata kura 6 tu! Jitafakari! Make a self assessment!

MATOKEO

1. Ms. Fatma Karume - Kura 820
2. Mr. Godwin Ngwilimi - Kura 363
3. Mr. Godwin Mwapongo - Kura 12
4. Mr. Godfrey Wasonga - Kura 06
Waliompigia kura ni wafanyakazi wenzake, aliosoma nao schools of law na wengine bachelor's degree
 
Kweli hatuna mawakili Tanzania bali tuna wachumia tumbo, mnamchaguaje mtu ambaye hawezi hata kujenga hoja?? Yaani mihemuko ndiyo mnadhani itawapeleka huko mnakodhani??? Shame on hawa mawakili.

Naona na wewe umeweza kujenga hoja hapa ...shame on u
 
Huwa kama ana tatizo kichwani. Kwanini amemuita mwenzake malaya? fatuma is a respected Lawyer! Hana makandokando ya kijinga!
Hawez kosa matatizo. Sio Fatuma tu huwa anaita wanawake wenye mafanikio hivyo.
Badala awaige naye afanikiwe ana kazi wa kuwatusi tu.
Ila ndio kina mama wa ccm hao
 
Hawez kosa matatizo. Sio Fatuma tu huwa anaita wanawake wenye mafanikio hivyo.
Badala awaige naye afanikiwe ana kazi wa kuwatusi tu.
Ila ndio kina mama wa ccm hao
Mtu kama huyo ni kum ignore posts zake!
 
Tatizo watu wamechoka kwa sasa. wasonga anajulikana anataka nini TLS ndo tatizo lake la kuanza kushindwa
 
Quick observation, zinaonyesha jamii inahamasika sana kwenye chaguzi yeyote au malumbano yeyote ambayo mtu anayeonekana vocal against government anashiriki, na waliowengi hufurahi akishinda dhidi ya perceived resistance kutoka serikalini. Hii ni dalili kwamba waliowengi wanapinga serikali ila hawana wa kuwasemea na ni dalili kwamba serikali inaminya uhuru wa Wananchi wake. Kama ningekuwa nashauri serikali ningewaambiwa waanze kujitathmini na kuchukua corrective measure, ukiondoa ushabiki wa kisiasa na ukifuata kanuni ya sayansi ya jamii, this is not health for our nation.
Hiyo ni sehemu ndogo mno ya electorate
 
Picha ninayoipata ni kuwa "watu" na sio wanasheria tu, hawaipendi CCM maana Wasonga ni CCM.. akina Jerry Muro &Co.Ltd!
Lkn fahamu kua hicho chama kipo na kitaendelea kuwepo sana na ndiyo maana kinaongoza km maoni yako yangekua sahihi basi kingeshakua chama pinzani kwa sasa
 
Lkn fahamu kua hicho chama kipo na kitaendelea kuwepo sana na ndiyo maana kinaongoza km maoni yako yangekua sahihi basi kingeshakua chama pinzani kwa sasa
Uko sahihi. Wao wanatetea utawala wa Sheria na siyo siasa. Ni coincidence kuwa kuna chama kinalia na ukosefu wa utawala wa sheria vile vile
 
Naunga hoja, lugha aliyotumia sio ya Great Thinkers! Ni shutuma za kijinsia na haifai kuvumiliwa hata chembe. Kumwondoa kwenye kundi hili ni ishara ya kuheshimu utu wa ubinadamu wetu. Mwondoe mwondoe!
Naunga Mkono Aandolewe hana hadhi ya kuwa mnawajamii forum
 
To me, naona ni upuuzi kuweka taaluma sambamba na siasa, hivi leo hii itokee wahandisi, madaktari n.k wakaanza kufanya kazi kwa misingi ya itikadi ya kusiasa kama.wanasheria wanavyotaka kudhihirisha hili... tutafika kweli? Tunaweheshimu wanasheria watumikie watu wote bila kujigawa kwenye itikadi.
Chama cha Waalimu Tz
 
Mamluki huyo mwanamke wenu. Juzi kati hapa anajidai atamshitaki rais, kitu ambacho ni nonesense ila ninyi wanasheria mnaona ni cha maana. Tundu Lisu ukiondoa ugonjwa wake wa akili ambao ni wa kurithi wa kifamilia, he is good, na ana maono, ila huyu bi dada sioni kama chama kitafanikiwa kutekeleza yale ambayo ninyi chama cha wanasheria mmekusudia
Wanawake kwa nini uwa hampendani?
 
Ccm yalikuwa yanataka achaguluwe mtu wao imekuwa kinyume minzi ya kijani bwana
 
Back
Top Bottom