Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,728
- 2,259
Wakili: Dowans itadhohofisha nchi
Alisema moja ya madhara hayo ni kwa wafadhili kuiweka nchi kwenye orodha ya kunyimwa misaada, kwa sababu ya kutoheshimu sheria na mikataba ya kimataifa ambayo imeridhia.
Hili dude linaloitwa Fungamtama linaelekea halina akili za kawaida "common sense".
"Mkataba wa kimataifa" wa kitapeli inabidi upingwe kwa akili zote za kuzaliwa nazo.
Kazi ya mwanasheria ni kupinga ufisadi huu.Sasa ukunyimwa misaada kwa ajili ya kuweka utu wako mbele kunatatizo gani.
Huyu Fungamtama ni kama bibie anayebakwa, yeye anamrahisishia mbakaji!!!