IslamTZ
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 309
- 182
Hata kama hizo adhabu nyingine zitaikost nchi zaidi?
Mimi kama Mtanzania niko tayari kwa adhabu nyingine toka ICC ya kunyimwa misaada toka nje kuliko kuilipa dowans