Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,027
- 144,381
Mawakili wa utetezi kamatieni hapo hapo.By Martin Maranja Masese kupitia twitter:
Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???
Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama
WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama
Mahakama: π π π π π π
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Imbombo ngafuBy Martin Maranja Masese kupitia twitter:
Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???
Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama
WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama
Mahakama:
Wameanza kumpanda kichwani
Mihimili mitatu haipo tena? Kupitia kesi hii,mahakama itajipambanua kama ni mhimili au ni sehemu ya mhimili mmojawapo.Tusifike huko jamani.Tusivunje katiba.Wakitoka hapo mahakamani hua hawana muda wa kukaa na kutafakari mwenendo wao mahakamani? DPP hao watu wapuuzi unawatoa wapi? au wanafanya upuuzi kwa faida ya Nani Sasa.
Wajitathmini make wanaanza kupanda juu ya mahakama, na kesi inavyozidi kuendelea watamtukana na jaji kabisa.
DPP na Jaji Mkuu kuweni makini hao wapuuzi wanataka kutupeleka siyo.
Ndio maana ya Wakili msomi,ni lugha yakuvumilianaBy Martin Maranja Masese kupitia twitter:
Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???
Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama
WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama
Mahakama: π π π π π π
Mashtaka walisema wanamashaidi 21 vipi wengine wamepotea wapi.Ndio maana ya Wakili msomi,ni lugha yakuvumiliana
Angesema Jaji utake usitakeBy Martin Maranja Masese kupitia twitter:
Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???
Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama
WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama
Mahakama: π π π π π π
Bado,wapo kwenye kesi ya msingi.Mashtaka walisema wanamashaidi 21 vipi wengine wamepotea wapi.