Wakili Chavula: Watake wasitake wakili wa Jamhuri ni Wakili wa Mahakama

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???

Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama

WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama

Mahakama: πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Mawakili wa utetezi kamatieni hapo hapo.
 
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???

Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama

WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama

Mahakama: πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

WS Chavula ni zuzu tu kama yule muasisi wa atake asitake 😁😁
 
Wapo juu ya Sheria,na hii case yameiframe ikiwa na maelekezo kutoka juu
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???

Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama

WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama

Mahakama: πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???

Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama

WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama

Mahakama:
Imbombo ngafu
 
Wakitoka hapo mahakamani hua hawana muda wa kukaa na kutafakari mwenendo wao mahakamani? DPP hao watu wapuuzi unawatoa wapi? au wanafanya upuuzi kwa faida ya Nani Sasa.

Wajitathmini make wanaanza kupanda juu ya mahakama, na kesi inavyozidi kuendelea watamtukana na jaji kabisa.

DPP na Jaji Mkuu kuweni makini hao wapuuzi wanataka kutupeleka siyo.
 
Mihimili mitatu haipo tena? Kupitia kesi hii,mahakama itajipambanua kama ni mhimili au ni sehemu ya mhimili mmojawapo.Tusifike huko jamani.Tusivunje katiba.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???

Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama

WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama

Mahakama: πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ndio maana ya Wakili msomi,ni lugha yakuvumiliana
 
By Martin Maranja Masese kupitia twitter:

Kibatala: OBJECTION. Mh Jaji ni kweli kwamba mahakama imebakia na sintofahamu???

Jaji: ameacha kuwa wakili wa mashtaka anataka kuwa wakili wa mahakama

WS Chavula: Mheshimiwa Jaji watake wasitake ukishakuwa wakili wa Jamhuri ni pamoja na mahakama

Mahakama: πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Angesema Jaji utake usitake
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom