nemulo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,589
- 441
Sometimes its the other way round...mtu aliyechoka ndo anamkimbia yule aliye vizuri, kwa kuona aibu etc...Ilishawai kunitokea nilikutana mshikaji nilisomanae form 1 sasa anaendesha bajaji. Nikasimamisha akawa anakuja kwa karibu tulivyotiana machoni jamaa akarudi barabarani nikaambulia kivumbi tu
Dah,mkuu hii mimi imeshanitokea kwa washkaji zangu kadhaa niliosoma nao both o-level n chuo,tulikuwa tunawasiliana vizur tu thn M'Mungu kanijalia kuongeza tena elimu kidg na kuboresha maisha,duh kiukweli naona kama ni wananikwepa seriously hata nikijithd kuwatext mimi huwa hawareply na mwingn nilionana naye kwa umbali mdg tu macho kwa macho mitaa ya bank akakausha kabisa yeye,mh...