watanzania wako busy na masuala ya msingi,wakenya kila siku ni kujadili negative effect.watz tuko mob hapa kenya wala hamuwez kutuua mkatumaliza na wakenya wako mob tanzania hakuna atakae waua akawamaliza,intermarriage nayo ni kubwa sana, imagine nachapa dada zenu, present wenu mzazi willy mtuva kila siku yupo bongo kuangalia family yake
Kwamba sisi wakenya ni watu wa maringo mingi ni perception tu. Siyo ukweli.
Pengine mnatuchukulia hivo kwasababu huwa hatutumii sana hizo maneno za nidhamu kama: tafadhali, naomba,samahani,nakusihi nk, kama nyinyi wabongo.
Lakini hakumanishi tuko rude.
Kweli mimi nikikupata wewe Motochini umezirai barabarani, ninaweza kataa kukusaidia? Sisi pia binadamu na tunapenda kutreat other pipo the way we would wish to be treated.
hizo nchi ulizo taja hapo,tz ndio kimbilio lao kunapotokea na matatizo kwao.wakenya wengi walihifadhiwa arusha na familia zao mlipochinjana mwaka 2007-8,wanyarwanda ndio sisemi,wengi wameloea tz mpaka leo baada ya yale mauaji ya kimbari,wamalawi wapo hapa tunaishi nao kama ndg.Mnaishi kimajungu majungu na kila mtu, mara Malawi, mara Mnyarwanda, mara Mkenya n.k. Hadi Wazanzibar wana mashaka na nyie. Mshazoea kudanganywa majirani zenu ndio sababu ya kutoendelea kwenu na mkaingia. Haya anzisheni basi tuone mtaishia wapi. Wasouth ndugu zenu wamewaanzishia njia.
Wewe akili mgando kweli....kenya unaifahamu vizuri kweli???
Ni bora ukataliwe waziwazi kuliko wanavyofanya hawa jamaa...yaani unazibwa pumzi na unakufa kimyakimya...
#KilaMtuKwo ....
Nashindwa kuelewa unachotaka kusema ni nini hapo labda kwa kuwa akili yangu ni mgando kama ulivyosema lakini chuki kwa majirani zetu hatusaidii hata kidogo!!!!
Tiba
Chuki iko wapı,wamenyimwa vısa?Wafuate taratibu, acha kutetea ujinga,nyambafu zako.Mbona walikuwa wanazuia magari yetu kinyume na taratibu?Sikupendi weweee?
Bwahahaaa bwahahaaaaaa bwahaahaaaaa........!!!!!Sio muda mrefu na sisi tutaanza kuwacharanga kama huko SA, wamejaa sana maeneo ya mikocheni, mbezi beach na tegeta. Alafu jamaa wanajichukilia babu kubwa sana wakati ni masikini wakutupwa, kuna siku tulikua tunapiga bia mtaani kwenye duka la mangi wakawa wanatusnitch kwa kikikuyu, tulichowafanya hadi leo huwa hawanywei tena pale mtaani.
Mnaishi kimajungu majungu na kila mtu, mara Malawi, mara Mnyarwanda, mara Mkenya n.k. Hadi Wazanzibar wana mashaka na nyie. Mshazoea kudanganywa majirani zenu ndio sababu ya kutoendelea kwenu na mkaingia. Haya anzisheni basi tuone mtaishia wapi. Wasouth ndugu zenu wamewaanzishia njia.
Hahahaaa matumbo bwana? Naona umemchana jamaa kisawasawa!Shida yenu wakenya ni roho mbaya dharau na majivuno.. Wakongo wamejaa dsm hii hakuna anaewaasumbua, warundi wazambia wamalawi tunaishi nao kama ndugu zetu na tunawakubali sana. Nyinyi wajuaji mnatuletea mambo yenu mnayofanyiana huko wajaluo vs wakikuyu mnatuletea huku hatupendi sisi hatujazoea hizo mambo.
WaTz hatupendi dharau zenu na kujiona huku mpo mpo tu hamna swaga.
Tunawakaribisha vizuri mkishazoea mnaanza kuleta dharau. Mama Lwakatare hana amu na nyinyi mliwapiga majungu WaTz kwenye shule zake wakakimbia wakawaachia shule mbaki wenyewe matokeo shule zimekufa sasa anaanza upya. Pumbaff sana na mmeanza kuwafundisha huu ujinga wanyarwanda na waganda watu tulioishi nao vizuri nao wameanza kuwa kama wakenya.
Mkuu tpaul sio kwenda Kenya tu.. Nimeshafanya biashara sana kule na usumbufu pekee (ambao hata hapa upo) ni polisi kupenda rushwa kupita maelezo.. Nimeshaenda Kenya mara nyingi na washirika wangu bila ya kuwa na pasi ya kusafiria na sikuwahi kukamatwa (wala wenzangu) ati kwanini tunaingia bila ya hati yeyote.. Na kuna wabongo wengi wameishia kule na wanaishi.. Usumbufu ambao wewe unausema ni wa kawaida ambao hata hapa upo.. Lakini hau-justify hii hatred inayoandikwa hapa na watu ambao wanaongea from hearsay information..
Sio muda mrefu na sisi tutaanza kuwacharanga kama huko SA, wamejaa sana maeneo ya mikocheni, mbezi beach na tegeta. Alafu jamaa wanajichukilia babu kubwa sana wakati ni masikini wakutupwa, kuna siku tulikua tunapiga bia mtaani kwenye duka la mangi wakawa wanatusnitch kwa kikikuyu, tulichowafanya hadi leo huwa hawanywei tena pale mtaani.
Hahahaaa matumbo bwana? Naona umemchana jamaa kisawasawa!
Shida yenu wakenya ni roho mbaya dharau na majivuno.. Wakongo wamejaa dsm hii hakuna anaewaasumbua, warundi wazambia wamalawi tunaishi nao kama ndugu zetu na tunawakubali sana. Nyinyi wajuaji mnatuletea mambo yenu mnayofanyiana huko wajaluo vs wakikuyu mnatuletea huku hatupendi sisi hatujazoea hizo mambo.
WaTz hatupendi dharau zenu na kujiona huku mpo mpo tu hamna swaga.
Tunawakaribisha vizuri mkishazoea mnaanza kuleta dharau. Mama Lwakatare hana amu na nyinyi mliwapiga majungu WaTz kwenye shule zake wakakimbia wakawaachia shule mbaki wenyewe matokeo shule zimekufa sasa anaanza upya. Pumbaff sana na mmeanza kuwafundisha huu ujinga wanyarwanda na waganda watu tulioishi nao vizuri nao wameanza kuwa kama wakenya.
Hahahahahah awa jamaa wana mambo ya ajabu alafu nachoshangaaga wenyewe wanajiona wako OK tu, kwa kweli watu tumetofautiana sana.
Kuna siku watatulazimisha tufanye vitu ambavyo sio hulka zetu kabisa sababu tutachoka. South ilikuwa hivi hivi wageni wanaingia alafu wanadharu waliowakaribisha eti wavivu hauwajui kazi hawakusoma nk, huko South mtz haguswi sababu anajua kuishi na watu hii mikenya na minaijeria ndio kila inapofika dharau utadhani kwao kumeendelea.
Watanzania acheni chuki za kijinga kwan ni watanzania wangapi wamekodi mashamba huko Kenya kwaajili ya kilimo cha umwangiliaji na tena wanaishi kama wapo kwao! punguzeni majungu
Wanyarwanda na Wamwalawi wagani mliishi nao vizuri, kwanza ule unyama mliowafanyia majirani zenu wote kwa kuwapakia kwenye malori na kuwanyang'anya kila kitu. Mtu amehangaika kufanya kazi kwa bidii yake halafu kwa wivu unamhangaisha na kuchukua kila kitu chake hadi bata. Halafu kwa majungu mkawapakia hadi Watanzania wenu kwa kuwapandikizia eti ni wageni.
Mfahamu mimi Mkenya na nina Ukenya na haitatokea siku nibadilishe Ukenya wangu ndio nimfurahishe Mtanzania. Tunafahamika kwa kuwa wagomvi na wenye bidii, halafu tunapenda misifa.... ndivyo tulivyo na tumeishi miaka na miaka hivyo. Usitegemee kutubadilisha na wala sitegemei kumbadilisha Mtanzania. Akija kwetu pamoja na alivyo, ninampokea na kushi naye hivyo. Nilipoingia Tanzania mara za kwanza kwanza kufanya miradi, niliwakuta na tabia zilizonikera sana haswa kutozingatia muda na masaa, na vijisababu vingi, nilitegemea kuwabadilisha lakini nikawaelewa ndio huo mfumo wao. Ikabidi mimi ndio nilegee na kuendana nao walivyo. Hivyo huwezi ng'eng'ania kumbadilisha mtu.