Wakenya wasimika bendera mlima Kilimanjaro

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,887
3,412
naomba kujua wizara inayohusika na ulinzi wa mipaka yetu inafanya nini??halafu naomba kujua border kati ya tanzania na kenya ipo juu mlimani kilimanjaro?
View attachment 67877
Hawa jamaa ni baada ya kufika kileleni na kukuta bendera ya kenya
View attachment 67878
hapa wapo njiani kuelekea juu
 
Hawa WA-NYAYO wanadhani Tanzania ni SOMALIA?? Yaani kutwaa KISMAYU wanadhani wanaweza kujipanua kimipaka wanavyotaka???

Wizara husika wanajua hili kweli?? Na kama hawajui wanafanya nini??? Hii nchi kuna siku tutakuja kuamka na kukuta kuna mkoa UMEUZWA au UMETWALIWA na NCHI JIRANI na SERIKALI haijui....
 
  • Thanks
Reactions: awp
naomba kujua wizara inayohusika na ulinzi wa mipaka yetu inafanya nini??halafu naomba kujua border kati ya tanzania na kenya ipo juu mlimani kilimanjaro?
View attachment 67877
Hawa jamaa ni baada ya kufika kileleni na kukuta bendera ya kenya
View attachment 67878
hapa wapo njiani kuelekea juu

Mkuu huo ni Mlima Kenya na sio Kilimanjaro
 
mkuu yuko bize na afta pate ya besdei, haya mambo ya bendera mlimani kamwachia mbayuwayu ayashughulikie.
Akili za kuazima jumlisha na zilizooza kisha pata jibu
 
Mkuu SS,

Mlima Kenya nao uko capped na barafu??? Najaribu kukumbuka jiografia tulisoma zama zile...

Yes una barafu

Mount Kenya is the highest mountain in Kenya and the second-highest in Africa, after Kilimanjaro. The highest peaks of the mountain are Batian (5,199 metres (17,057 ft)), Nelion (5,188 metres (17,021 ft)) and Point Lenana (4,985 metres (16,355 ft)). Mount Kenya is located in central Kenya, just south of the equator, around 150 kilometres (93 mi) north-northeast of the capital Nairobi. Mount Kenya is the source of the name of the Republic of Kenya.

300px-Mount_Kenya_Summit_photomap-en.svg.png
 
naona watanzania sote sasa tumeambukizwa udhaifu.
Kila kitu tunalalamika tu na atutendi chochote lakini wengine waki act ni kelele tu, ulitegemea mkenya aone fahari gani kuwa juu ya mlima mrefu Afrika zaidi ya kusema "hata Mkenya aliwahi kufika hapa"!
Hivi yule Mtanzania aliyepanda mlima Everest na kuonyesha bandera ya Tanzania ina maana alitaka kuugeuza uwe wa kwetu!!?
Kuna vitu vingi ambayo inabidi tufanye kwa vitendo kukabiliana na hawa wenzetu badala ya kulaumu kila kitu wanachokifanya wao, hebu Mtanzania aende juu ya mlima Kenya (ambao ni wazi kwa yeyote pia) na aonyeshe bendera yetu yenye rangi nne (njano, nyeusi, kijani na bluu) alafu tuone kama nao watalalamika
 
naomba kujua wizara inayohusika na ulinzi wa mipaka yetu inafanya nini??halafu naomba kujua border kati ya tanzania na kenya ipo juu mlimani kilimanjaro?
View attachment 67877
Hawa jamaa ni baada ya kufika kileleni na kukuta bendera ya kenya
View attachment 67878
hapa wapo njiani kuelekea juu

This can either be fabricated or ni picha ya mlima kenya na sio kilimanjaro,
This issue was resolved a long time ago and I dont think kama wakenya wanaweza kuwa this submissive.
You are aware kwamba ni kinyume cha sheria kuweka bendera ya nchi nyingine kwenye mipaka ya nchi husika, you think wakenya hawafaham hili?
 
naona watanzania sote sasa tumeambukizwa udhaifu.
Kila kitu tunalalamika tu na atutendi chochote lakini wengine waki act ni kelele tu, ulitegemea mkenya aone fahari gani kuwa juu ya mlima mrefu Afrika zaidi ya kusema "hata Mkenya aliwahi kufika hapa"!
Hivi yule Mtanzania aliyepanda mlima Everest na kuonyesha bandera ya Tanzania ina maana alitaka kuugeuza uwe wa kwetu!!?
Kuna vitu vingi ambayo inabidi tufanye kwa vitendo kukabiliana na hawa wenzetu badala ya kulaumu kila kitu wanachokifanya wao, hebu Mtanzania aende juu ya mlima Kenya (ambao ni wazi kwa yeyote pia) na aonyeshe bendera yetu yenye rangi nne (njano, nyeusi, kijani na bluu) alafu tuone kama nao watalalamika

Nakubaliana na wewe........ingawa muanzisha thread kaweka picha za mlima Kenya

Congratulations+Wilfred.+First+Tanzanian+to+reach+the+top+of+Mount+Everest!+Wilfred+reached+the+top+at+09.00am+(local+time)+today,+19th+May+2012..jpg
 
Mkuu wakati mwingine tunapaswa kuwa makini na post tunazo weka humu, hivi ukiangalia picha unawezaje kutofautisha kilele cha Mlima wa Kilimanjaro na Mt.Kenya - uwezi! Actually milima yenyewe haitofautiani sana kwa urefu above sea level.

Mkuu hakuna haja ya kuchochea malumbano yasio kuwa na mshiko hasa kuhusu wenzetu Wakenya, zama hizi za digital manipulation mtu yeyote anaweza ku-copy na ku-paste bendera yoyote DUNIANI - mkajikuta mnaingia kwenye mtafaruku husio wa lazima.

Kitu kingine, kwani RAIA wa nchi nyingine hawaruhusiwe kubeba bendera za nchi zao? hata akisimika bendera ya nchi yao kwa muda katika kilele cha Mlima Kilimanjaro kuonyesha furaha ya kufanikiwa kuhukwea mlima mpaka kwenye summit, kwangu hilo silioni kama ni tatizo - cha muhimu nikupewa instruction na ma-guide kwamba akiondoka pale aondoke na bendera ya nchi yake hairuhusiwi kuiacha imesimikwa pale.
 
Mkuu, siyo kila kilele cha mlima ni cha mlima Kilimanjaro, who knows, hata kwao kuna kilele cha mlima!
 
mlima kilimanjaro upo tanzania nakenya hawawezi kuufikia kwa sabau nyuma ya mlima kwa upande wa kenya kuna barabara ya kutoka rombo kwenda longido na ina lami mpaka mpakani mwa longido na rombo.

hiyo ni kwa taarifa tu kwa wale wanaodhani mlima ndo mpaka wa tz na kenya.
 
mkuu mlima kenya nauona nikiwa moshi,hauna barafu na ni mfupi sana,kilimanjaro ndio mlima wenye barafu peke yake africa

Mkuu mbona unashangaza kidogo!! Kwani nini neno "Glaciers" lina maana gani kwenye lugha ya kingereza?
 
Bange za mchana ukilala lazima uote ndoto mbaya! unafika mahali unafananisha kichuguu ya Kenya na Mlima mrefu barani Afrika wenye Barafu majira yote ya mwaka wenye vyazo vya maji na mito mingi!!
 
naomba kujua wizara inayohusika na ulinzi wa mipaka yetu inafanya nini??halafu naomba kujua border kati ya tanzania na kenya ipo juu mlimani kilimanjaro?
View attachment 67877
Hawa jamaa ni baada ya kufika kileleni na kukuta bendera ya kenya
View attachment 67878
hapa wapo njiani kuelekea juu

Hebu soma hapa ndo utajua watanzania tumelala

[h=2]Best way to see and experience Mount Kilimanjaro[/h]
The best view of Mount Kilimanjaro comes from approaching the mountain from the northern Kenya side. The majority of pictures seen in magazines and travel guides feature this view. However, the best way to experience Mount Kilimanjaro is through taking a trek up the mountain
The six official trekking routes include Machame, Marangu, Lemosho, Rongai, Shira, and Umbwe. The easiest trek comes from the Rongai route, however this is also the least scenic. Machame is one of the more challenging treks, however it does offer the most attractive and scenic views. No matter which route you take, you will need to plan at least 5 to 7 days for the trek allowing for both travel and more importantly acclimation to the altitude.
Visitors who plan to trek up Mount Kilimanjaro need to evaluate their own physical abilities. It is imperative to understand that even experienced trekkers will fall victim to some levl of altitude sickness. The summit of Kilimanjaro is high enough that either high altitude cerebral edema (HACE) or high altitude pulmonary edema (HAPE) can occur. You should at least expect to experience shortage of breath, headaches and some elements of hypothermia. Taking 7 days versus 5 days creates a better chance for you to acclimate easier and reduce the altitude effects.
Further note: Although the summit of Kilimanjaro can be reached through a walk and is not technically a climb, it is still a strenuous trek. According to the Kilimanjaro National Park, only 41% of trekkers actually reach the peak. Plan, prepare and train if you look to explore Mount Kilimanjaro and experience this wonder of nature to the fullest.

Source: Mount Kilimanjaro | Seven Natural Wonders
 
Back
Top Bottom