Mkuu huo ni Mlima Kenya na sio Kilimanjaro
kweli jf sio mchezo, furaha tupuDar nilikuja kwa furaha nikijua sisi watu wa Kilimanjaro tumekombolewa kumbe bado tuko kwenye minyororo ya ccm!
Hawa WA-NYAYO wanadhani Tanzania ni SOMALIA?? Yaani kutwaa KISMAYU wanadhani wanaweza kujipanua kimipaka wanavyotaka???
Wizara husika wanajua hili kweli?? Na kama hawajui wanafanya nini??? Hii nchi kuna siku tutakuja kuamka na kukuta kuna mkoa UMEUZWA au UMETWALIWA na NCHI JIRANI na SERIKALI haijui....
Maelezo yako mbona yananipa mashaka mengi?ni sehemu gani ya Moshi ukisimama unaweza kuuona mlima Kenya? Nina bahati ya kuishi katika sehemu mbili ilipo milima hii miwili (mt. Kenya na Kilimanjaro). Nimeishi katika mji unaitwa Nanyuki; just at foothill of Mt. Kenya na sasa naishi Majengo kwa Mtei-Moshi. Ukweli ni kwamba Mt. Kenya una barafu just like Kilimanjaro na pia hata kipofu atakataa kuwa unaweza kuuona mlima Kenya ukiwa Moshi.mkuu mlima kenya nauona nikiwa moshi,hauna barafu na ni mfupi sana,kilimanjaro ndio mlima wenye barafu peke yake africa
mkuu si walisema mlima kilimanjaro ni pekee wenye barafu katika ukanda huu wa ikweta
mkuu mlima kenya nauona nikiwa moshi,hauna barafu na ni mfupi sana,kilimanjaro ndio mlima wenye barafu peke yake africa
mkuu jaribu kuwa makini kidogo, jaribu kutueleza from which part of Moshi waweza ona mount Kenya, ukiwa Nairobi tu huo mlima bado hauonekani!
Pili acha kujidanganya, kuna milima mingi Afrika tu huwa inaweka theluji kama Mlima Meru, Oldonyo Lengai, Kenya n.k ila utofauti na Kilimanjaro theluji hiyo haikai mwaka mzima isipokuwa wakati wa majira ya baridi kali....
Hebu soma hapa ndo utajua watanzania tumelala
Best way to see and experience Mount Kilimanjaro
![]()
The best view of Mount Kilimanjaro comes from approaching the mountain from the northern Kenya side. The majority of pictures seen in magazines and travel guides feature this view. However, the best way to experience Mount Kilimanjaro is through taking a trek up the mountain
The six official trekking routes include Machame, Marangu, Lemosho, Rongai, Shira, and Umbwe. The easiest trek comes from the Rongai route, however this is also the least scenic. Machame is one of the more challenging treks, however it does offer the most attractive and scenic views. No matter which route you take, you will need to plan at least 5 to 7 days for the trek allowing for both travel and more importantly acclimation to the altitude.
Visitors who plan to trek up Mount Kilimanjaro need to evaluate their own physical abilities. It is imperative to understand that even experienced trekkers will fall victim to some levl of altitude sickness. The summit of Kilimanjaro is high enough that either high altitude cerebral edema (HACE) or high altitude pulmonary edema (HAPE) can occur. You should at least expect to experience shortage of breath, headaches and some elements of hypothermia. Taking 7 days versus 5 days creates a better chance for you to acclimate easier and reduce the altitude effects.
Further note: Although the summit of Kilimanjaro can be reached through a walk and is not technically a climb, it is still a strenuous trek. According to the Kilimanjaro National Park, only 41% of trekkers actually reach the peak. Plan, prepare and train if you look to explore Mount Kilimanjaro and experience this wonder of nature to the fullest.
Source: Mount Kilimanjaro | Seven Natural Wonders
Nadhani muanzisha thread amepitiwa kidogo. LENANA Peak ipo Mlima Kenya, na UHURU Peak iko Mlima Kilimanjaro. Hiyo bendera ya Kenya yaonyesha wazi kuwa ipo LENANA 4985m. Huu mjadala hauna mashiko!
naomba kujua wizara inayohusika na ulinzi wa mipaka yetu inafanya nini??halafu naomba kujua border kati ya tanzania na kenya ipo juu mlimani kilimanjaro?
View attachment 67877
Hawa jamaa ni baada ya kufika kileleni na kukuta bendera ya kenya
View attachment 67878
hapa wapo njiani kuelekea juu