Adolf Hitler Jr
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 340
- 262
Hii ndo nyimbo bora ya Kenya kwa mwaka 2018. 😁
Hii ndo nyimbo bora ya Kenya kwa mwaka 2018. 😁
Hata mimi hapo sijaelewaa kitu gani kinachoimbwa humoKuna wimbo kweli hapo??
Mambo ya Sheng hayo.Hata mimi hapo sijaelewaa kitu gani kinachoimbwa humo
Hilo ndio la msingi sio ujinga wanaofikiria eti nyimbo za nje zibaniwe hawajui watu watatafuta kwa njia yeyote good content hata kama wakibana. Wengine wanalalamika eti hamna msanii anaelepiwa sawa na Diamond hapo kenya sasa sijui wanahisi Diamond aliamka tu akawa analipwa hiyo hela , wapige kazi waache lawama za kipumbavu.Unajua msingi wa huu mjadala ni ile show ya WASFI FESTIVAL pale kenya , yaani ile ndio ili wa pain baadhi ya wasanii waka erupt wakaanza kulalamika eti media za kenya zinawapa airtime kubwa sana bongo flavour na wanadai TZ hawapewi airtime kbs citizen tv imefanya mijadala karibu mara mbili juu ya hili swala, mimi nawashauri wasanii wa kenya wasii bweteke wasione wamemaliza kila kitu wafanye miziki mizuri then matokeo watayaona sasa what if wakawa wanafanya miziki mizuri alafu na nchi zingine wakawa wanabania nyimbo zao kupenetrate?
creativity ktk ziki unaanzia ktk utunzi wa mashairi rhythms, nakazalika kuwa na sauti nzuri sio uwezo wa kufanya wimbo mzuri ,. kama una sauti nzuri alafu hauna creativity ya uandishi bac huwezi penetrateWakenya tunapenda creativity kw sana....wala si km huyo domo Kuiba idea za wamarekani...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mtazamo wako, kila mtu anasikiliza mziki unao mvutia. Hapa bongo na Kenya kuna watu hawapendi mziki wa Diamond, wanapenda kumsikiliza Ali kiba wengine Navy Kenzo n.k. huyo unamsema ameimba huendi mbinguni yeye anaona fan base yake inakua na juzi ameshukuru kwa kusema kipato chake kimeongezeka. Diamond amejitahidi sana ila siyo kwamba bila diamond Tz hamna mziki. Mimi binafsi ata top 5 yangu hayupo.Kwa kipi tunachoimba Tz eti nyimbo uendi mbiguni,jini kisirani sasa ndo nn hata bongo mziki wetu bado tumshukuru diamond...
Sent using Jamii Forums mobile app
NBA yule rapper wa marekani?Kuna nyingine yao kachezwa NBA inaitwa POSITION hivi majuzi na bado nyingine inaitwa DUNDAING ya King Kaka feat Christof bado Kachezwa NBA. Nyegezi pia imewakilisha hapa kwa Nyang'au.
Wacha ushamba mkuu NBA ni National Basketball Association ambayo ni ligi ya mpira wa kikapu
Nadhani jamaa kaamua tu kuzingua.Wacha ushamba mkuu NBA ni National Basketball Association ambayo ni ligi ya mpira wa kikapu
Would you mind explaining what you are talking about?Cha ajabu ni kwamba, nyimbo ya Aggray Mwanri ina views nyingi kuliko nyimbo ya kwanza kwenye top ten ya Kenya.