waKenya mnavyowaambia wabongo hawasikilizi nyimbo zenu huwa mnashirikisha ubongo wenu

Hii ndo nyimbo bora ya Kenya kwa mwaka 2018. 😁

Kuna nyingine yao kachezwa NBA inaitwa POSITION hivi majuzi na bado nyingine inaitwa DUNDAING ya King Kaka feat Christof bado Kachezwa NBA. Nyegezi pia imewakilisha hapa kwa Nyang'au.
 
Unajua msingi wa huu mjadala ni ile show ya WASFI FESTIVAL pale kenya , yaani ile ndio ili wa pain baadhi ya wasanii waka erupt wakaanza kulalamika eti media za kenya zinawapa airtime kubwa sana bongo flavour na wanadai TZ hawapewi airtime kbs citizen tv imefanya mijadala karibu mara mbili juu ya hili swala, mimi nawashauri wasanii wa kenya wasii bweteke wasione wamemaliza kila kitu wafanye miziki mizuri then matokeo watayaona sasa what if wakawa wanafanya miziki mizuri alafu na nchi zingine wakawa wanabania nyimbo zao kupenetrate?
 
Hilo ndio la msingi sio ujinga wanaofikiria eti nyimbo za nje zibaniwe hawajui watu watatafuta kwa njia yeyote good content hata kama wakibana. Wengine wanalalamika eti hamna msanii anaelepiwa sawa na Diamond hapo kenya sasa sijui wanahisi Diamond aliamka tu akawa analipwa hiyo hela , wapige kazi waache lawama za kipumbavu.
 
Kwa kipi tunachoimba Tz eti nyimbo uendi mbiguni,jini kisirani sasa ndo nn hata bongo mziki wetu bado tumshukuru diamond...

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo ni mtazamo wako, kila mtu anasikiliza mziki unao mvutia. Hapa bongo na Kenya kuna watu hawapendi mziki wa Diamond, wanapenda kumsikiliza Ali kiba wengine Navy Kenzo n.k. huyo unamsema ameimba huendi mbinguni yeye anaona fan base yake inakua na juzi ameshukuru kwa kusema kipato chake kimeongezeka. Diamond amejitahidi sana ila siyo kwamba bila diamond Tz hamna mziki. Mimi binafsi ata top 5 yangu hayupo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa artists wa Kenya wana lalamika kuwa wabongo wanalipwa vizuri kuliko wao, jibu ni rahisi wana misingi imara ya mziki na wanazalisha mziki mzuri, sasa walivyo wanafiki kwanini hawalalamiki wakongo,wanaija, wamalekani na wajamaica wakitumbuiza nchi yao? Wakubali tuu bongofleva is ahead of theirs, waache chuki binafsi, why bongofleva and not other countries?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom