Wakenya Milioni 1.8 wakabiliwa na balaa la njaa, ukame

Wakenya Milioni 1.8 wakabiliwa na balaa la njaa, ukame

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Ripoti mpya ya usalama wa chakula nchini Kenya, inaonyesha kuwa karibu watu milioni mbili katika Kaunti kame nne za Kaskazini Mashariki mwa Kenya, wanakabiliwa na Uhaba mkubwa wa chakula.

Serikali ya Kenya imetoa wito kwa wahisani kusaidia katika kukabili hali hiyo ya dharura ili kuepusha maafa.

 
Back
Top Bottom