Sasa m254 mbona kama unatetea vitendo hivyo vya kishetan? Unatakiwa ukanushe au ulaan. Huwezi kusema "hii tamu lakini chungu".[emoji3]
Hukunielewa ndugu sina muda wa league.Naomba usome nilichokisema, urudie kama mara kumi kusoma halafu uje upya.
mk254#Naomba usome nilichokisema, urudie kama mara kumi kusoma halafu uje upya.