chuchumeta3
JF-Expert Member
- Sep 1, 2015
- 237
- 87
Hawana.simba hawana golikipa mahiriHuyu asajiriwe kwenye moja timu za basketball
Hawana.simba hawana golikipa mahiriHuyu asajiriwe kwenye moja timu za basketball
Kafanya hivyo kuna live videosNadhani akilidaka atawarushia nao wahangaike nalo
Mkuu nakuomba hata ww jaribu siku moja udake bom.. Nina uhakika majibu utayaletaKwa wewe ambae hauyajui wenzetu wanaoandamana kila kukicha wameshayazoea hivo wanayajua madhara yake unadhan lingekua Bomu la kiazi limerushwa angeruka hivo kama anafunga goli LA kikapu!!!!
Mimi sio mzoefu ila hao sishangai sababu ndo kawaida yaoMkuu nakuomba hata ww jaribu siku moja udake bom.. Nina uhakika majibu utayaleta
Umejua kunichekeshaa weweWatanzania wanavyopenda kuiga keshokutwa unamuona mtu nae anajiita mtaalamu wa kukusanya maji ya kuwasha!![emoji13] [emoji13] [emoji13][emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]