Wke zetu huwa wanatuongopea saana ! Unapomuona mke wa mwenza antoka na mwengine jua hata wako vivo hiyo. Weee mwanaume usiseme wife wa mwenzako malaya!! Ukiletewa video ya mkeo utajinyonga tena . Hana hadhi mbele ya jamii na unapopita wenzako wanakung`ong`a
Wke zetu huwa wanatuongopea saana ! Unapomuona mke wa mwenza antoka na mwengine jua hata wako vivo hiyo. Weee mwanaume usiseme wife wa mwenzako malaya!! Ukiletewa video ya mkeo utajinyonga tena . Hana hadhi mbele ya jamii na unapopita wenzako wanakung`ong`a
Inawezekana mkeo amemegwa na mume wangu week end hii maana leo tunakuja ofcn asubuhi gari inamlio ambao ijumaa haukuwa nao na alikuwa anarudi home saa 4 -5 usiku na atakuwa amemgegeda kwenye gari yetu yaani pole sana ndo ivo walimwengu wabaya sana.
Hapa nilipo mie nshachoka kusikia milio ya gari linalosiginisha watu kwachukwachu, kunakahela kangu nimekapata nimeshapeleka gari yetu ya zamani gereji nataka itoke kama mpya kisha kila mtu na gari lake ili agegede salama mie nsisikie milio ya kwachukwachu.
Pole sana kutumia condom kwenye ndoa ni muhimu sana maana magonjwa haya................. sjui kama tutapona tulio kwenye hizi ndoa loooh Mungu na atusaidie.
imebidi ni log in kwa hii comment,hv mkunde huwa unamatatizo gani hujiamin? kwa nini unamwazia mabaya sana mmeo,hilo gari haliwezi kuwa bovu tu kwa source ingine,au hujui uwazalo lina asilimia kubwa kutendeka,naona huwa unampush sana huyu bwana.usipobadilika itakula kwako.
Kutoka nje ya ndoa sio kitu kizuri kabisa kwa pande zote lakini ni kweli kabisa wanaume wamechangia sana kubadili tabia za wake zao na mara nyingi wakishakua na wanawake wa pembeni hiwa hawajali kabisa hisia za wake zao uumie kwa tabia zake usiumie yani yy hajali na hapo ndo inatoa loophole ya mwenza kuharibu pia. La msingi ni kutomtendea mwenzako usichopenda kutendewa na kuheshimu ndoa.