Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,146
wameshampulizia tayariYamekukuta ama?
wameshampulizia tayariYamekukuta ama?
Hapa si bure!!!
Huyu washammegea!
Pole mkuu! Issa alisema "...ukimnyoshea mtu kidole kimoja, vidole vitatu hukurudi mwenyewe...!"
Mhhh...mi sisemi kitu nisije kuchafua hali ya hewa..Unachosema si kweli. Ukweli ni kwamba asilimia 99 ya matatizo ya ndoa chanzo ni mwanamke. Mie nawashauri ambao hawajaoa waendelee kuishi hivyo hivyo kuliko kuoa. Hakuna mwanamke asiyetoka nje ya ndoa. Ila kuna wanaume wengi sana hawatoki nje ya ndoa. Mwanamke hata umpende vipi mpe kila kitu, mpende kuliko kila mtu bado atakusaliti tu. Tena atatembea na dreva, houseboy au rafiki yako. Tena siku hizi wanawake ndiyo wanatongoza wanaume, hawana aibu hata kidogo. Mimi mwaka huu tu nimeshatongozwa na wanawake 6. Kati yao ni wa 2 tu wapo single. Wanawake wanalijua hilo kwa sababu huwa wanaambiana. Wanaume wengi sana wanaumizwa kwenye ndoa zao lakini hawasemi kwa kuona aibu. Mambo ya wanawake yanasikika zaidi kwa sababu wao ni mavuvuzela. Ukiona mwanaume anakimbia nyumba yake ujue tatizo ni mwanamke tu.
pole kama yamekukuta lakini usijumuishe wanawake wote walio kwenye ndoa la asha! kwa research fupi niliyofanya wanawake wengi ambao awajatulia katika ndoa zao lazima kunakutokuelewana katika ndoa zao na hao walio wa waume zao, ingawa pia wapo wenye tamaa ndipo ujiulize uyo mkeo ulikumta wapi? ulimsoma tabia kama ulimkubali na ukicheche wake tokea mwanzo baasi vumilia,
Wke zetu huwa wanatuongopea saana ! Unapomuona mke wa mwenza antoka na mwengine jua hata wako vivo hiyo. Weee mwanaume usiseme wife wa mwenzako malaya!! Ukiletewa video ya mkeo utajinyonga tena . Hana hadhi mbele ya jamii na unapopita wenzako wanakung`ong`a[/QUOTE BOSTON mimi sinaa la kusema maana sijawahi kupata ushahidi katika hili.
Mimi simo kwenye kundi hilo.Wke zetu huwa wanatuongopea saana ! Unapomuona mke wa mwenza antoka na mwengine jua hata wako vivo hiyo. Weee mwanaume usiseme wife wa mwenzako malaya!! Ukiletewa video ya mkeo utajinyonga tena . Hana hadhi mbele ya jamii na unapopita wenzako wanakung`ong`a
Inawezekana mkeo amemegwa na mume wangu week end hii maana leo tunakuja ofcn asubuhi gari inamlio ambao ijumaa haukuwa nao na alikuwa anarudi home saa 4 -5 usiku na atakuwa amemgegeda kwenye gari yetu yaani pole sana ndo ivo walimwengu wabaya sana.
Hapa nilipo mie nshachoka kusikia milio ya gari linalosiginisha watu kwachukwachu, kunakahela kangu nimekapata nimeshapeleka gari yetu ya zamani gereji nataka itoke kama mpya kisha kila mtu na gari lake ili agegede salama mie nsisikie milio ya kwachukwachu.
Pole sana kutumia condom kwenye ndoa ni muhimu sana maana magonjwa haya................. sjui kama tutapona tulio kwenye hizi ndoa loooh Mungu na atusaidie.