Wake zetu Shida ni nini?

Wake zetu Shida ni nini?

Kuna hatari ya kukanyagwa kama utakuwa wa kujishusha mara kwa mara.
Kila kitu kinakuwa na kiasi

Hata hivyo haitaondoa uanaume wangu nikijishusha Kwa muda ili jambo fulani baya lipite

Waswahili wanasema mafahari wawili hawakai zizi moja!

Ila katika mahusiano yetu na Bibi yenu, kila unapotokea ugomvi baina yetu

Huwa ni alert kwangu kwamba she real wants my dick, wakati mwingine hutokea hujamchapa nao kwa muda hivyo nyege humfanya ahisi hasira muda wote

Ukishampa anachokitaka, basi amani automatic inakuwa imerejea ndani

Ndiyo maana wahenga waliwahi kusema, nyumba yenye amani ni ile ambayo Baba na Mama wanalala uchi kwenye Kitanda kimoja

Wanaume tupunguze ubusy na tutimize wajibu wetu
 
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.

Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.

Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!

Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.

Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Safi sana. Yaani wanawake Wana mambo ya ajabu sana, wakiwa ndani ya ndoa wanajua wamemaliza na wanasahau kuwa kati ya wanawake yeye aliechaguliwa na haizuii kuachwa na kuchagua mwingine. Pia wanasahau kuwa wakati wa kumtongoza haukupangiwa na mtu umchague yeye wala yeye hakukupangia. Kaza Uzi kaka 💪
 
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.

Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.

Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!

Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.

Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Piga mashine Acha uvivu
 
Kila la heri
 
Mna hangaika tu kutoa ushaurii kwa watu wanaolalagaa uchi tena zaidi ya miaka 2

Kama ni ndoa tena ndoa halali tena ya kanisani hayo maneno unayoyaongea unajifurahisha labda kama kupitia kuyaongea ndio unajihisi mwepesi

Unafikiri kuvunja ndoa ni kama kuvunja uchumba eeeh

Wewe hapo subiri hasira ziishe akupigie simu muyamalize

Lakini kama hamjafunga ndoa madhabahuni tutaamini haya unayotuambia kwamba unamuachaa

Ndoa si kama karatasi ukijisikia unaichana tu
 
Mkuu, jibu alilonipatia nikajikuta nishapiga mtama na ngumi juu. Nilishindwa kabisa ku' control hasira zangu.
Kuna wanawake wanahitaj kupigwa

Wa kwangu ana kamkono sana yaan anapenda kunipima nguvu siku moja niliwah kuamua kumpiga lakin hakusikia

Siku hz nimemuacha maana ilitokea kama mara mbili tukivutana tunaharibu vitu au tunamwangukia mtoto mchanga nikaona hii ni hasara

Yaan hata mim ni hvyo hvyo kuna wakat unaaribikiwa na usafir njian unarud nyumban saa 5 au 6 usiku ukifika ni kelele tu hajui ni jinsi gan nateseka huko barabarani

Game ya juzi barca na madrid kidogo nimpige ila nikajifanya kuwa mjinga,kanikalisha nje nusu saa,kuingia ndani napo makelele na anataka tupigane

Aiseee,na mim naelekea kuwa singo,maisha ni mafupi nataka kuyafurahia na sio kuteseka eti kisa nina watoto

Ingawaje sijakamilika ninako kamchepuko mara moja moja huwa nalala nje kwasababu ya kamchepuko,
 
Pole mkuu. Na huyu alikuwa na tabia kama hizo " mara kama wewe ni mwanaume nipigee nipigeee sasa" kauli kama hii ikikutana na hasira za dunia lazima ufanye tukio. Sitarudia tena, kuna member wamenishauri hawa viumbe wanatembea na matatizo mengi sana ya afya.
 
Kwahiyo unamshauri mshkaji ajishushe kama simba jike kwa Simba dume (fahari)?
Yaani amuweke huyo mwanamke mjini afu ikitokea instance ya jeuri na kibri napo ajishushe? Aisee kweli tumeumbiwa mateso
Sio kwenye kila hoja ya ndani ya nyumba nilazima Mwanaume uibuke mshindi

Nyingine huwa tunajishusha ili kupisha Siku

Bila kufanya hivyo, Ndoa zetu hazitaweza kudumu

Kwani kuna shida gani katika majibizano na Mkeo ndani ya nyumba ukampa ushindi yeye ili kuacha amani itamalaki
 
Back
Top Bottom