Wake zetu Shida ni nini?

Wake zetu Shida ni nini?

Mwenyezi Mungu akutangulie, mtu anayekubali makosa yake ni mtu mwema sana. Wachache sana hukubali na kuvumilia matusi na dharau. Kama ulivyoweza kuvumilia hayo yote, nakuombea upate wa kuendana naye mtakayeishi maisha ya amani na upendo.
Ahsante kwa maneno yako ya busara na dua nzuri BANTU LADY. kuvumilia matusi na dharau ni jambo gumu, lakini kila hatua ni sehemu ya kujifunza. Namuomba Mungu aniongoze ili niwe na amani na upendo katika maisha yangu ya mbele. Amina.
 
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.

Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.

Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!

Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.

Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Mimi ndiyo maana sitaki kuolewa na mtu wa kanda ya ziwa
 
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.

Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.

Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!

Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.

Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Oya mkuu saluti sana umetuwakilisha vyema
 
Mkuu, jibu alilonipatia nikajikuta nishapiga mtama na ngumi juu. Nilishindwa kabisa ku' control hasira zangu.
Kipindi hvho tafuta mishanga ya kila aina fm two chuo makazini uraiani mweusi mweupe mwembamba bonge yy mtoe akilini tumia kanuni out of site out of mind
 
Ingekuwa Mwaka 47 na Wazee wetu wanatumia hasira za hivyo, nahisi wote tungelelewa na Single Parent

Ili kusolve hilo jambo lako, ulipaswa ujishushe

Ukiona Mkeo/Mumeo amekasirika Kwa kiwango hicho, hakuna budi mmoja wenu ajishushe ili kuweza kuhimili atmosphere ya wakati huo

Otherwise Ndoa zetu wote zingekuwa zimeshavunjika kitambo.

Huenda Mkeo amegundua usaliti unaomfanyia at her back, hivyo akapandwa na hasira hadi kufikia huko mlikofikia

Lazima Kuna sababu kubwa nyuma ya hasira za mkeo

Sio vibaya kujishusha na kuongea naye Kwa upole ili kutafuta suluhu
Kuna hatari ya kukanyagwa kama utakuwa wa kujishusha mara kwa mara.
 
Mimi ndiyo maana sitaki kuolewa na mtu wa kanda ya ziwa
Jiran za asubuh! Binti Sayuni03

Uwe unaangalia zingine huwa ni nyege
Hili linaweza kuwa chanzo.
Usikute shemej alikuwa anahitaj dudu la yuyu , kuna wanawake wakiwa na nyege watanuna/visiran ili umbembeleze na umpige pipe atulie na ndio lengo lao.
Kuanzia process ya kumbembeleza had kumdinya yeye huwa anaipenda.

Pengne ndio alikuwa anatafuta hii kitu.
 
badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
  • Hapa ndipo nimeishia kusoma.
  • Wewe ndio umeruhusu hii hali tangu siku za mwanzo mlipo anza mahusiano, kile ulichokipanda haya ndio matokeo yake. Huwa haiwezekani upande mpunga uvune magugu.
  • Kaachini jitafakari wapi unakosea. Sio jambo la kusimulia kabisa eti mke anakutusi, mke anakudharau, huo ujasiri anautoa wapi? kama sio wewe ndio umemwezesha kuwa hivyo alivyo.
---
Pole kwa changamoto unayopitai.
 
Unadhani wazee wetu walikua na wanawake walio tofati na hawa tulio nao?

Wanaume embu tuwe wanaume aisee!
Wazee wetu walikuwa hawana access nyepesi ya mbususu kama Sasa, mtu anatongoza miezi 6 mzigo hajala kwanini asivumiliane na aliyepo ndani?
Jamaa hapo anaweza kufukuza mke usiku , kesho akafanya usajili mpya tena wanaweza hata kupigana ili moja Yao apate nafasi
 
Back
Top Bottom