Wake zetu Shida ni nini?

Wake zetu Shida ni nini?

Mna hangaika tu kutoa ushaurii kwa watu wanaolalagaa uchi tena zaidi ya miaka 2

Kama ni ndoa tena ndoa halali tena ya kanisani hayo maneno unayoyaongea unajifurahisha labda kama kupitia kuyaongea ndio unajihisi mwepesi

Unafikiri kuvunja ndoa ni kama kuvunja uchumba eeeh

Wewe hapo subiri hasira ziishe akupigie simu muyamalize

Lakini kama hamjafunga ndoa madhabahuni tutaamini haya unayotuambia kwamba unamuachaa

Ndoa si kama karatasi ukijisikia unaichana tu
Ilikuwa zamani lakini sikuhizi kuachana ni chap...dk yaan
Kaingie ndani kwa ndoa ya kanisani kalete dharau na kiburi ukitegemea hamuachani...utapata aibu cute
 
Kwani kuna shida gani katika majibizano na Mkeo ndani ya nyumba ukampa ushindi yeye ili kuacha amani itamalaki
Ndugu yangu..... Hivi unaishi na mwanamke au ndio mbususu unaiita ukiihitaji na inaondoka tena ?
Hivi unajua wanawake hamna ugomvi atakaokuachia ushinde ndani ya nyumba bila ya kuwa na mipaka
Isije kuwa tunaongea hapa afu reference kubwa ya mwanamke ambaye umeishi naye ni Mama Yako na Dada Zako ambao huwezi kuwahesabu kwenye huu mjadala
 
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.

Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.

Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!

Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.

Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Umemkanda? ooh mkuu taratibu utaenda jera kwa kuua tafadhari
 
Mna hangaika tu kutoa ushaurii kwa watu wanaolalagaa uchi tena zaidi ya miaka 2

Kama ni ndoa tena ndoa halali tena ya kanisani hayo maneno unayoyaongea unajifurahisha labda kama kupitia kuyaongea ndio unajihisi mwepesi

Unafikiri kuvunja ndoa ni kama kuvunja uchumba eeeh

Wewe hapo subiri hasira ziishe akupigie simu muyamalize

Lakini kama hamjafunga ndoa madhabahuni tutaamini haya unayotuambia kwamba unamuachaa

Ndoa si kama karatasi ukijisikia unaichana tu
Siku hizi watu wanapewa talaka honeymoon
 
Ndugu yangu..... Hivi unaishi na mwanamke au ndio mbususu unaiita ukiihitaji na inaondoka tena ?
Hivi unajua wanawake hamna ugomvi atakaokuachia ushinde ndani ya nyumba bila ya kuwa na mipaka
Isije kuwa tunaongea hapa afu reference kubwa ya mwanamke ambaye umeishi naye ni Mama Yako na Dada Zako ambao huwezi kuwahesabu kwenye huu mjadala
Nina uzoefu na hao watu Mkuu, nimeoa na nina familia kabisa.

Sijasema uishi na Mkeo bila kumwekea mipaka, ukifanya hivyo anaweza kukurudia usiku wa manane akitoka kutoa utamu huko Kwa michepuko

Ninachosema ni kwamba sio Kila battle na Mkeo lazima sisi Wanaume tushinde, Kuna battle nyingine ni kuwaachia ushindi Kwa sisi Wanaume kujishusha.

Tambua kwamba Mwanamke anauwezo wa kuongea maneno mara mbili ya uwezo wa Mwanaume.

Inapotokea anavuka mikapa uliyomwekea lazima utafute namna ya kumfanya ajue amekosea.
 
Kila kitu kinakuwa na kiasi

Hata hivyo haitaondoa uanaume wangu nikijishusha Kwa muda ili jambo fulani baya lipite

Waswahili wanasema mafahari wawili hawakai zizi moja!

Ila katika mahusiano yetu na Bibi yenu, kila unapotokea ugomvi baina yetu

Huwa ni alert kwangu kwamba she real wants my dick, wakati mwingine hutokea hujamchapa nao kwa muda hivyo nyege humfanya ahisi hasira muda wote

Ukishampa anachokitaka, basi amani automatic inakuwa imerejea ndani

Ndiyo maana wahenga waliwahi kusema, nyumba yenye amani ni ile ambayo Baba na Mama wanalala uchi kwenye Kitanda kimoja

Wanaume tupunguze ubusy na tutimize wajibu wetu
Umeongea maneno mazuri mno sijui huyu mwajuma nimwambie kuwa jioni nitamuoa dah 🤔
 
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.

Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.

Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!

Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.

Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Wewe ni mwanaume DHAIFU na unatuaibisha wanaume wenzako
Mwanaume wa kweli mwanamke hawezi kukusumbua kizembe

Kulingana na MFUMO DUME tulionao Afrika mwanaume kwa asilimia 90+ ndio KISABABISHI cha matatizo kwenye mahusiano/ndoa nyingi
(Ingawaje pia wapo wanawake wasumbufu)

Hakuna mwanamke bila SABABU eti ataanza tu kukutukana na kuindoa amani ndani ya nyumba ukirudi nyumbani........ usiangaike na ulipo angukia rekebisha ulipo jikwalia

Wanaume wengi wa mfumo dume they don’t care about woman’s feelings or whatever as long as wana provide matumizi

Mkeo ni life partner wako na sio some kind of house girl wa kukuzalia kulea kupika kufua nk nk......
Jali hisia zake, msirikishe mipango yenu, mpe muda wako nk nk
Hakikisha anajiona ni sehemu ya maisha yenu na sio mkeo wa kukupa uroda unapo jisikia na kulea watoto wako

Mara nyingi ukihisi labda mkeo anakukarahisha ujue hiyo ni dalili kwamba kuna kitu kwa upande wako hakiko sawa...... labda huyo mwanamke awe mkorofi by nature

Na kikubwa zaidi tutafute hela..... zinasaidia sana kuwatuliza hawa viumbe
 
Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.

Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.

Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!

Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.

Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
hakikia unakuja na update ya hii kitu baada ya wiki 3-5 hapo. maana naona wote mmefanya maamuzi mkiongozwa na hasira. naweza sema hakuna aliye serious, msiwachoshe watu.
 
Mshkaji hapo katumia mbinu mbadala, inaitwa kipigo
Jiulize kaambiwa nini mpaka kafanya hivyo
Inapotokea amevuka mipaka, Sisi Wanaume wa Kiafrika hutumia kipigo kumnyoosha

Hakuna Mwanaume wa atakayependa kudharauliwa na mkewe

Ndiyo maana Biblia ilitoa amri Kwa kusema"Enyi Wanawake, watiini Waume zenu....."
 
Back
Top Bottom