Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 45,065
- 111,656
safi mkuu ni kukaza tu.hiyo kitu nilikataa
safi mkuu ni kukaza tu.hiyo kitu nilikataa
sasa kama hamna watoto unambembeleza nini? Aende zake kwao, ila atakukumbuka na kukurudiaHatuna watoto hata wa kusingiziwa.
Asante kwa ushauri, lakini siwezi nikaa nae chini labda mwanamke mwingine.Kama ni mke wako kaa nae chini myamalize muulize shida nini kwa upole sana ila kama ni mpenzi tu na hauna malengo yoyote piga chini endelea kutafta hela.
Oky boss.Unataka tuwe wanaume kwa kuvumilia huu ujinga? Version ya zamani sio hii ya sasa. Kuna matukio ya ajabu yanatokea ,lakini ukiwa nje ya mfumo unaweza ukasema maneno yote, sasa ingia ndani ujionee.
Mkuu mimi sijambembeleza, nasubiria kesho atoke hapa nyumbani.sasa kama hamna watoto unambembeleza nini? Aende zake kwao, ila atakukumbuka na kukurudia
Kwahiyo umempiga?Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.
Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!
Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.
Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Jiangalie sana, nitakutembezea kichapo cha mbwa mwizi.badili title iwe mke wako na siyo wake zetu.
Ndio amepigwa na yupo sebleni anavuta kamasiKwahiyo umempiga?
🤣🤣 Okay, sawasawa 🤒Ndio amepigwa na yupo sebleni anavuta kamasi
Kwahiyo umempiga mkuuu 🥱 🥱 🫵 😃Nimetoka kuhangaika na mishemishe za maisha, nimechoka na nimejaa mawazo.
Nafika nyumbani nategemea amani, badala yake nakutana na matusi na dharau zisizo na sababu.
Yeye mwenyewe kachukua simu, kapiga kwao eti anarudi na abaki huko huko!
Kuanzia kesho mimi ni single rasmi, na hili liwe fundisho kwake na kwa wengine wote: mwanaume naye ana mipaka ya kuvumilia.
Kipigo cha leo sio hasira tu, bali ni somo atakalolikumbuka maisha yake yote.
Unampenda?Asante kwa ushauri, lakini siwezi nikaa nae chini labda mwanamke mwingine.
kipigo anachokupa huyo mwanamke kinakutoshaJiangalie sana, nitakutembezea kichapo cha mbwa mwizi.
Unaona kama Mimi yule narcissist alivonifanya haya Sasa mwinginee huyuuuAkienda aende na asirudi. Mwanamke ukimuendekeza anakugeuza msukule wake.
utaweza kuvumilia kuishi peke yako au utatafuta mke mwingine? Mind kuwa wanawake hawafanani baadhi ya tabia usije ukapata mwingine mbaya zaidi kuliko huyo. Kama vipi mbembeleze myamalize muendelee kuishiMkuu mimi sijambembeleza, nasubiria kesho atoke hapa nyumbani.
Je ana sifa kama hizii Mahusiano na narcissist unaweza kufa!!Jiangalie sana, nitakutembezea kichapo cha mbwa mwizi.
Sikupenda kufikia hatua hiyo, lakini kila mtu ana kiwango cha uvumilivu.Okay, sawasawa
![]()
Ushauri ni mwepesi sana ila ukivaa viatu vya bwana mkubwa ndo utajua shida Iko wapiutaweza kuvumilia kuishi peke yako au utatafuta mke mwingine? Mind kuwa wanawake hawafanani baadhi ya tabia usije ukapata mwingine mbaya zaidi kuliko huyo. Kama vipi mbembeleze myamalize muendelee kuishi
Umesema kweli.utaweza kuvumilia kuishi peke yako au utatafuta mke mwingine? Mind kuwa wanawake hawafanani baadhi ya tabia usije ukapata mwingine mbaya zaidi kuliko huyo. Kama vipi mbembeleze myamalize muendelee kuishi