Wake zetu acheni Roho mbaya!

Wake zetu acheni Roho mbaya!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,816
Najua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia kwa manufaa ya wote!

Mmekuwa wabinafsi kupitiliza, mnatuona kabisa waume zenu tunahangaika na michepuko huko nje naamini sababu mnaijua ila ubinafsi umewatawala na rohombaya mnataka kuwa peke yenu kwenye nyumba wakati mnajua kabisa kuna vitu nyie hamnavyo ila wanawake wenzenu huko nje wanavyo kwa nini msitusaidie kutafuta?

Kwa mfano we unajua kabisa mumeo kakupendea sura yako nzuri lakini jirani yako hajaolewa ila ana chura! Kwanini usinishauri nimuoe ili mumeo niridhike nisitoke nje ya ndoa?

Hebu fikirieni hili swala Hii Dunia sasa hivi kila mwanamke angemshauri mumewe kungekuwa na michepuko kweli? BADILIKENI.....Kwa taarifa yenu michepuko inafaidi kuliko hata nyie mliopo ndani.
 
Mke wako ndo hafaidi, sio kila mke wa mtu hamfaidi mumewe.

Mwambie mkeo hayo mambo!!!!
 
hii post bhana imebid nicheke hv mwanamke gani akushaur umuongezee mwenzie ndani kisa yeye ana chura na macho yako yameona mwenye chura?? dah
 
Najua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia kwa manufaa ya wote!

Mmekuwa wabinafsi kupitiliza, mnatuona kabisa waume zenu tunahangaika na michepuko huko nje naamini sababu mnaijua ila ubinafsi umewatawala na rohombaya mnataka kuwa peke yenu kwenye nyumba wakati mnajua kabisa kuna vitu nyie hamnavyo ila wanawake wenzenu huko nje wanavyo kwa nini msitusaidie kutafuta?

Kwa mfano we unajua kabisa mumeo kakupendea sura yako nzuri lakini jirani yako hajaolewa ila ana chura! Kwanini usinishauri nimuoe ili mumeo niridhike nisitoke nje ya ndoa?

Hebu fikirieni hili swala Hii Dunia sasa hivi kila mwanamke angemshauri mumewe kungekuwa na michepuko kweli? BADILIKENI.....Kwa taarifa yenu michepuko inafaidi kuliko hata nyie mliopo ndani.

Ni kweli hata mkeo mruhusu awe na michepuko maana hata huna vigezo vyote vya kuwa mwanaume aliyekamilika. Acha roho mbaya share mkeo na wanaume wenzako.
 
Jambo la msingi ni kuridhika na kutulia. Hata akikuruhusu kuoa mwingine, hutaweza kuwamaliza wote. Kila mwanamke ni mzuri kwa jinsi yake alivyoumbwa na kujaliwa na Mungu. Baki njia kuu.
 
Utaoa wangapi sasa kwa sababu hakuna aliyekamilika kwani hata huyo mwenye chura bado kuna kingine ambacho hatakuwa nacho
 
Najua kabisa mna kipaji maalum mmepewa na Mungu cha kutufahamu sisi watoto waume zenu watoto tuliozaliwa na wanawake wenzenu mna uwezo nguvu za kipekee mlizajaaliwa na Mungu ila hamtaki kuzitumia kwa manufaa ya wote!

Mmekuwa wabinafsi kupitiliza, mnatuona kabisa waume zenu tunahangaika na michepuko huko nje naamini sababu mnaijua ila ubinafsi umewatawala na rohombaya mnataka kuwa peke yenu kwenye nyumba wakati mnajua kabisa kuna vitu nyie hamnavyo ila wanawake wenzenu huko nje wanavyo kwa nini msitusaidie kutafuta?

Kwa mfano we unajua kabisa mumeo kakupendea sura yako nzuri lakini jirani yako hajaolewa ila ana chura! Kwanini usinishauri nimuoe ili mumeo niridhike nisitoke nje ya ndoa?

Hebu fikirieni hili swala Hii Dunia sasa hivi kila mwanamke angemshauri mumewe kungekuwa na michepuko kweli? BADILIKENI.....Kwa taarifa yenu michepuko inafaidi kuliko hata nyie mliopo ndani.
Duuuh.. STD's tutapona kweli
 
wafwaaaaaaaaaaa
 
Back
Top Bottom