Kidasa
JF-Expert Member
- Aug 1, 2013
- 309
- 108
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.Ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .Akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.Sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea Bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake Safari ya sokoni iliishia guest.
JAMANI WAKE ZA WATU TULIENI,MNAWADHALLILISHA NA KUWAFEDHEHESHA WANAUME ZENU.