Wake za watu vipi??

Hahaaa,

Mkuu kuwa na gari imekuwa ni kilevi kipya siku izi. watu tunahangaikia vitegauchumi wengine wanahangaika na magari ambayo hayaingizi chochote zaidi ya stress. Unakuta mtu ana gari tena la mkopo, anaendela nalo beach, Kwenye vikao vya harusi, kuangalia mpira na kutongozea baasi.

Mtu hana kiwanja wala nini, anapaki gari ofisin la 15 Milion (tena mkopo) linakaa kutwa nzima kwenye jua, anaendesha jioni kurudi nyumbani then anajipongeza na kujisifia. Hiyo mil 15 angeweza kuizungusha kwa mwaka mmoja akarudisha mkopo na kuinua maisha yake. We hado uje urudishe huo mkopo kwa mishahara yetu hii, utafanya vitu vya maendeleo lini kama si kuanza kuiba na kula rushwa???????

Kizazi hiki kinachukulia mambo kirahisirahisi, kizazi hiki kinafikiri kwa tamaa, kizazi hiki kinasikiliza kwa macho na kuona kwa hisia, Kizazi hiki ni fuata upepo...... God have mercy on us.

A motorvehicle for private use is no longer an asset rather it a big Liability, young men and women we should Invest wisely.

NB ''A slow movement of a tiger is not a mistake, rather a calculated accuracy''


Ukisoma katikati ya mistari utagundua tu dogo anajishaua. Hamna lolote.
 
Wew na yeye wote weizi, alafu ungekutwa nae ungeliwa magoti ndio ungejua wake zetu vipi??
 
Sidhani kama ni sahihi ku generalize kwa huyo maharage ya mbeya mmoja,no research no......
 
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.Ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .Akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.Sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea Bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake Safari ya sokoni iliishia guest.
JAMANI WAKE ZA WATU TULIENI,MNAWADHALLILISHA NA KUWAFEDHEHESHA WANAUME ZENU.

Napendaga style yao ya kujitongozesha aisee...!:smile-big:
 
Vipi alikuwa mtamu maana nasikia watamu balaa Asprin unaona kijana anavyogegeda wake zetu kisa eti ana kagari ka mkopo!!
 
Last edited by a moderator:
kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.amesafiri kikazi let say siku 5-katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake safari ya sokoni iliishia guest.
Jamani wake za watu tulieni,mnawadhallilisha na kuwafedhehesha wanaume zenu.


mtajibeba mwaka huu na bado ndo kwanza tunakaza buti
 
Sasa Ndugu zangu wa moshi: We unakaaga dukan tu kuhesabu mi hela toka asubuhi unarudi ucku! Bibie unataka nani amuangalie? Ndio mnakuja kututolea ma pisto! Inauma eti...
 
ila we mleta thread umejiaibisha tu unasema safari ya sokoni iliishia gesti huko

gest alienda mwenyewe si mlienda pamoja........!!!!!!!na kumgegeda ukamgegeda

Unajuaje kama alimgegeda? Inawezekana alienda nae gesti akaishia kumnawa tu..madogo wa sikuizi wengi sio rizki...nawauzia sana viagra kwenye pharmacy nliyoajiriwa.
 
Sasa we gest mlienda kufanyaje na mke wa mtu???? Ukifyatuliwa risasi utamlaumu nani?
 
Back
Top Bottom