Wake za watu vipi??

Wake za watu vipi??

Inawezekana huyo alikudanganya ili umle kavukavu, maana alijua akikwambia ni mke wa Mtu utavutia na kujua kuwa si mgawaji sana, kumbe ni changudoa waTown.

hana lolote jamaa ni kifimbocheza tu akajishaua dem kajitongozesha.
 
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.Ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .Akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.Sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea Bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake Safari ya sokoni iliishia guest.
JAMANI WAKE ZA WATU TULIENI,MNAWADHALLILISHA NA KUWAFEDHEHESHA WANAUME ZENU.

unakataza nini na umefanya nini? Mpaka waenda sokoni? Kumpa mtu lift haina maana kwamba ummege. Hakika mlikutana kopo na mfuniko, wote maharage ya ngara ungekuwa umekataa na kuleta uzi hapa tungekuona shababy sasa umemmega halafu unatuambia, tunza kwenye moyo wako.
 
Hahahahaaaaa we nawe unajisifu kulala na mke wa huyo swahiba hapo jirani!!!, ina maana siku zote hujui kuwa hao walishaumia kitambo?. Pole ukipata nafasi nenda kapime kama tayari uanze kujilia dozi mapemaaaaaaaa!!!. Ifike wakati watu mjitambue ukome!!!!!! mtu anajitongozesha unashindwa kufungua akili yako unadhani eti wewe ni handsomeeee, kalaghabaho umepewa akili na hicho kichwa si cha kufugia nywele tu!!!.
 
Halafu anakuja kutuuliza wake za watu vipi badala ya kujiuliza yeye vipi?!

zanzi hizoo ha ha ha! Unahisi jamaa alipata division ngapi fm4? Mi nahisi ana bachelor ya swimming na anafanya kazi Access bank as a loan officer.
 
Nimezisoma post,lakini hamjanielewa dhana yangu,ukweli nilimheshimu huyo bi dada kwa muonekano wake,na jinsi jamaa anavyoshughulikia nyumbani kwake,Baada ya kuingia ndani ya gari,tukasalimiana (Salamu ya bashashi kubwa kutoka kwake) mara akaanza unajua mzee kasafiri nipo peke yangu,mara shem unapataga wapi kinywaji,kweli ibilisi ni mkubwa bia mbili tu mtoto macho amelegea utafikiri katiwa nini,ananishikashika hovyo.Nilicholearn kama nilivyoongea kwenye mada yeye anahisi mume wake akisafiri,kamwe haiwezekani lazima atatembea na wanawake huko,hivyo naye lazima ajiachie kuupa faraja moyo wake.KIKUBWA SUALA LA UAMINIFU KTK LIMEKUWA TATIZO KUBWA KTK NDOA NYINGI SIKU HIZI.Ndoa zimekuwa full usanii.

Samahan lakini naomba kuuliza.unasema hujaeleweka na wengi dhana yako.kwahiyo ulivyoandika safari ikaishia guest na kugegedana ulikuwa unamaanisha umetumia ligha ya picha au? Yaani umenichanganya zaidi na post yako hii bora ungeishia palepale mwanzo.kichwa cha habari,post ya kwanza na ya pili kila kimoja kina maana yake.kichwa cha habari kinasound ka vile umeshatugegeda wake za watu wote.posti ya pili unatuambia ulikuwa unamuheshimu bidada sasa kwanini usingeendeleza heshima zako na siku hiyo pia?.sio kila mtu lazima aanzishe uzi nadhani ni busara zaidi tusiojua kujenga mawazo na hoja tuishie kucoment na kulike tu.
 
Kuna katabia sijui ndio digitali yenyewe,mke wa mtu(wenye ndoa kabisa) akijua mwenzake:
1.Amesafiri kikazi let say siku 5-Katika siku hizo tano lazima agegedwe nje sio chini ya mara 2
2.Ikitokea amesafiri either kikazi,kwenda kusalimia kwao,kwa vyovyote atakaporudi lazima atakuwa amegegedwa
3 .Akihihisi mwenzake(mume wake)ana mahusiano nje,japo sio kwa kumuona live lazima na yeye akatafute wa kumgegeda.Sasa hivi ni mtindo wa ushindani full,kuonyeshana ubabe.
Naongea hivi kwa sababu kuna demu(mke wa mtu)mwanzoni nilikuwa namheshimu sana,mume wake alisafiri kikazi nikakutana naye mida ya jioni siku hiyo mume wake aliposafiri,nilikuwa naelekea Bar ya jirani kupata moja moto,moja baridi yeye anaelekea sokoni,nikampa lifti simply sikumtongoza zaidi ya yeye kujitongozesha kwangu matokeo yake Safari ya sokoni iliishia guest.
JAMANI WAKE ZA WATU TULIENI,MNAWADHALLILISHA NA KUWAFEDHEHESHA WANAUME ZENU.

kwa hiyo baada ya kufanya uzinzi huko ndo unaleta taarifa?
 
Nimezisoma post,lakini hamjanielewa dhana yangu,ukweli nilimheshimu huyo bi dada kwa muonekano wake,na jinsi jamaa anavyoshughulikia nyumbani kwake,Baada ya kuingia ndani ya gari,tukasalimiana (Salamu ya bashashi kubwa kutoka kwake) mara akaanza unajua mzee kasafiri nipo peke yangu,mara shem unapataga wapi kinywaji,kweli ibilisi ni mkubwa bia mbili tu mtoto macho amelegea utafikiri katiwa nini,ananishikashika hovyo.Nilicholearn kama nilivyoongea kwenye mada yeye anahisi mume wake akisafiri,kamwe haiwezekani lazima atatembea na wanawake huko,hivyo naye lazima ajiachie kuupa faraja moyo wake.KIKUBWA SUALA LA UAMINIFU KTK LIMEKUWA TATIZO KUBWA KTK NDOA NYINGI SIKU HIZI.Ndoa zimekuwa full usanii.

Hiyo siyo sababu toshelevu ya kukufanya wewe ushawishike kwenda kuzini na mke wa mtu gest. Ulipaswa kuonyesha uanaume wako kwa kutokubaliana nae kwenda kuzini. Ngoja mumewe agundue,na hivi bastola zimeshamiri...huna bahati ndugu yangu
 
Samahan lakini naomba kuuliza.unasema hujaeleweka na wengi dhana yako.kwahiyo ulivyoandika safari ikaishia guest na kugegedana ulikuwa unamaanisha umetumia ligha ya picha au? Yaani umenichanganya zaidi na post yako hii bora ungeishia palepale mwanzo.kichwa cha habari,post ya kwanza na ya pili kila kimoja kina maana yake.kichwa cha habari kinasound ka vile umeshatugegeda wake za watu wote.posti ya pili unatuambia ulikuwa unamuheshimu bidada sasa kwanini usingeendeleza heshima zako na siku hiyo pia?.sio kila mtu lazima aanzishe uzi nadhani ni busara zaidi tusiojua kujenga mawazo na hoja tuishie kucoment na kulike tu.
du hapo bluu naomba kwa hisani yako nilitumia kama signature
 
Alipoingia kwenye gari lako

Akaanza kukushikashika.....

Uongo mwingine hata binti yangu wa miaka kumi humdanganyi asee.
huyu naye hana tofauti na yule aliyejichanganya na ID zake mbili
 
Back
Top Bottom